Nimemkopesha hela ila anasema tumalizane

Nimemkopesha hela ila anasema tumalizane

Mkuu dai hela yako. Au nipe hiyo kazi mimi. Yaani ukalipe lodge elfu 20 au zaidi kisa kuilipa 3500?
Kweli aisee, anaweza kwenda kutumia zaidi ya hiyo, wakati shida yake ilikua 3,500.
 
Ni 3500. Elf tatu na Mia tano
Hiyo hiyo 3,500. Unajua hata mie mhudumu akinihudumia, napenda anirudishie chenji yangu kamili ndio niamue kumpatia tip, sitaki ajipe yeye juu Kwa juu. Na usiponiletea hata kama ni 200 au 500 ntaidai na kuisubiria Hadi unipe haijalishi utajizungusha kiasi Gani.

Tukirudi kwenye hoja, kama huyo jirani alisema ana kopa, anatakiwa arudishe. Hiyo 3,500/- Kuna watu wanafanya kazi wanalipwa huo ujira Kwa siku. Utaona hapo tatizo sio kiwango Cha pesa ila ni utaratibu na nidham. Japo nashindwa kuamini kama mwanamke anaweza kusema watafutane na jamaa wayamalize kisa 3,500. Kutakua na shida mahali au tea
 
tafuta nyumba ya wageni hapo sio chini ya 15,000 ili mkamalizane deni la 3500.
 
Mwambie aje nimkopeshe mimi hiyo hela ili akulipe wewe halafu mimi ndio nimalizane naye kama anavyotaka.
 
Back
Top Bottom