Nimemkopesha hela ila anasema tumalizane

Nimemkopesha hela ila anasema tumalizane

Ndio zenu hizo...,

Utasikia "nikopeshe elfu thelathini nakurudishia keshokutwa",

Badae papuchi ndo inakuwa bond ya kulipa deni.
We Huna akili ya kujiongeza!
[emoji23][emoji23]
We bora umpe tu au umnyime mambo ya kumkopesha hayo hayapo.
 
Potezea hiyo hela fanya mengine.

Jilani yako kutoka nae kimapenzi hautaacha maana atakuchanganya huko chumbani uwe unamkumbuka kila mara..Utapata shida badae.
Na atamkopa zaidi na halipi atamgeuza kitega uchumi. Hawa watu wana hesabu za mbali sana... Kitaalamu tunaweza sema jirani ashamfanyia calculated future movements...
 
Back
Top Bottom