kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
- Thread starter
- #121
15kNi 15000 au 150000 ndugu mwandishi?
15kNi 15000 au 150000 ndugu mwandishi?
La hasha, sipo humu kuchukua fedha ya mtu yeyoteWeka namba ya simu Mwanangu....18,500 Mimi nitakutoa....
Hapana, ni kuwa nikimlala mara 1 naifidia hela yangu,sasa kama nikitaka kuendelea naye ndiyo hapo naweza pigwa vizingani mtegoo huoo hiyo 3500 itamponzaa atoe nyingi zaidi
Nionekane mjinga kwenye hela yangu? Hebu niambie naumbukaje kwa mfano? Atailipa hakika!!! Siyo kwa mimiUUkiendelea kufuatilia hyo 3,500 yako utaonekana mjinga na kumbuka bure,, kataa offer Yake na umuachie hiyo hela.
Hela haachiwi hata miaUUkiendelea kufuatilia hyo 3,500 yako utaonekana mjinga na kumbuka bure,, kataa offer Yake na umuachie hiyo hela.
Ahsante sanaUkisema uumgonge ndo utakuwa mchezo wake. Potezea tu mkuu
Mimi mtu nikimkopesha halafu asilipe huwa inauma lakini huwa inasaidia siku nyingine hawezi kuja kukuomba anajua kuna deni hajalipa. Anakuwa yeye mwenyewe kajipiga pin
Yes upo sahihi. Huyo mwanamke ana yake mengine..hajashindwa kulipa 3500Hiyo hiyo 3,500. Unajua hata mie mhudumu akinihudumia, napenda anirudishie chenji yangu kamili ndio niamue kumpatia tip, sitaki ajipe yeye juu Kwa juu. Na usiponiletea hata kama ni 200 au 500 ntaidai na kuisubiria Hadi unipe haijalishi utajizungusha kiasi Gani.
Tukirudi kwenye hoja, kama huyo jirani alisema ana kopa, anatakiwa arudishe. Hiyo 3,500/- Kuna watu wanafanya kazi wanalipwa huo ujira Kwa siku. Utaona hapo tatizo sio kiwango Cha pesa ila ni utaratibu na nidham. Japo nashindwa kuamini kama mwanamke anaweza kusema watafutane na jamaa wayamalize kisa 3,500. Kutakua na shida mahali au tea
Wacha upuuzi, msamehe tu hiyo, kama unaona vipi nenda kachukue sahani zake 2 kufidia hela yako badala ya kuleta humu upuuzi kama huu.Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Hata kama anekwama si aseme apatiwe muda wa kulipa badala ya kuleta habari za kukutana.Yes upo sahihi. Huyo mwanamke ana yake mengine..hajashindwa kulipa 3500
Anataka mnyanduano🤪Hata kama anekwama si aseme apatiwe muda wa kulipa badala ya kuleta habari za kukutana.
Hata yeye sio chake amekibeba tu Cha mtu hakina thamani kwake kwakoDah mtu anakubali kutoa kitobo kisa aftatu mia tano
Anataka mnyanduano🤪
Eee jamani, kaonyesha hisia zakeKirahisi rahisi tu namna hiyo kweli?
Hivi unaishi wapi wewe??? Hiki ni kitu cha kawaida SANA kutokeaNjaa itakuua
Yaani elfu tatu mia tano (3,500) tu unaanzisha thread?????
Watoto waliomaliza la saba juzi wanatusumbua sana
Sasa usichoelewa nini kuwa anataka akulipe kwa kutumia maumbile yake? Wewe vipi wa wapi wewe?Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.