Nimemkopesha hela ila anasema tumalizane

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
May 4, 2022
1,181
1,574
Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.

Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
 
Za asubuhi,ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3500 anasema hana,na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu.
Ananiambia aje nyumbani au nitafute guest tukamalizane na nisimdai tena.
Nashindwa kuwaelewa wanawake,uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi,naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza. Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno
Potezea hiyo hela fanya mengine.

Jilani yako kutoka nae kimapenzi hautaacha maana atakuchanganya huko chumbani uwe unamkumbuka kila mara..Utapata shida badae.
 
Za asubuhi,ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3500 anasema hana,na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu.
Ananiambia aje nyumbani au nitafute guest tukamalizane na nisimdai tena.
Nashindwa kuwaelewa wanawake,uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi,naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza. Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno
Njaa itakuua

Yaani elfu tatu mia tano (3,500) tu unaanzisha thread?????

Watoto waliomaliza la saba juzi wanatusumbua sana
 
Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute guest tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.

Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Msamehe Mungu atakupa nyingi zaidi
 
Back
Top Bottom