Nimemkopesha hela ila anasema tumalizane

Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.

Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Una buku ten nikupe odds 10 upate laki hio samehe alooo..kuwa gentle man
 
3500? Au nimeona vibaya?.
Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.

Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
 
Kuna mmoja alikuwa na utaratibu wa kuja kuchukua mahindi store kwangu na kwenda kuuza na kuniletea hela,wakat huo mahindi yapo kwenye 18,000 debe,kuna siku kachukua debe mbili,hakuleta hela na mimi nikapiga kimya tu,kwanza ni kidemu kipambanaji na mumewe ni mtu wa kushinda vijiwen sasa huwa nakahurumia fulani hako kademu,

Kalivyoona nimekaa kimya kakaanza kuleta mazoea ya kwenye simu mara kananiambia kataniletea hela lakini hakaleti mara kananiambia kamenimiss kanataman kuniona,nikajua tu kanataka kunipa mbususu kafute deni,kuna muda tuna panga kwenda kumalizana ila nakuwa nakapotezea maana najua nikiingia tu nitaombwa mtaji,nimeamua nikaachie hyo hela kama kukasaidia
 
Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.

Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.

Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.

Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno
Kwani unaogopa kumalizana nae?!
Au unaogopa akikupea hauwezani?
 
mbinu ni nyepesi sana mkuuu. subiri ule muda wa mchana au usiku ule muda ambao unaamini chakula kitakuwa tayari wee unaenda kula then unaondoka.
unafanya hivyo kwa nyakati tofauti mpaka hela yako itakapoisha kabisa
kenda nyumba ya wageni sikushauri maana utajipaliii makaa maana hata yeye nyege zimemjaa anatafuta wakuzimaliza
 
itakua zulma imejini aende ale wali kuku njegere spinach na juisi ya embe na maji ya baridi hapo si elfu 5 tayar
 
Ndo kumalizana huko ambako bi dada anatakaa. pia hela imetengeneza riba
 
Back
Top Bottom