Dah kumbe mnajijua watata ..et nikopeshe ngano kilo 4😂😂 halafu mnakuwaga wapole wakati wa mkopo.Potezea Tu 🤣
Ila usimkopeshe mwanamke hamnaga mkopo Kati ya hao watu wawili.
Hahahaha, hamia uswazi mkuu utakutana nao wa kutoshaMajirani kama hao huwa mnawapata wapi jameni, yaani yupo radhi kuruhusu mapaja yake kwa 3,500 za Tanzania.....
Wengine tuna majirani wa hovyo, full kununa haujui utaanzia wapi.
Dada Bora ulivyomjibu binafsi sipendi watu wanaodharau watu wengine kila binadamu tunatofautiana mitazamo, uchumi na mambo mengi Sana ni vizuri kuheshimu mtizamo wa mtu kuhusu jambo fulani sio Unawaza kujikweza na kujitapaKwani elfu tatu miatano sio hela?
Acha ujinga wewe.
Ni 15000 au 150000 ndugu mwandishi?Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Penye miti....Majirani kama hao huwa mnawapata wapi jameni, yaani yupo radhi kuruhusu mapaja yake kwa 3,500 za Tanzania.....
Wengine tuna majirani wa hovyo, full kununa haujui utaanzia wapi.
Hasa hasa kama sio mlina Asali. Hata kama ni bukuSawa, nina uchungu na hela yangu
Si umsamehe tu mkuu elfu 3500 nayo kweli ukute ka kwama na wewe unaforce that way kkujibu hivyo.
Mkuu siyo 35,000; ni 3,500!Elfu 35000 tu .... Umeiwekea bando kbs tuidiscuss Huku..kweli? Samehe tu
Siyo 35,000/= ni 3,500/=...jamaa anakaza anasema hawezi kumsamehe...nae mwanamke kasema kama vipi basi ampe mapenzi...jamaa anasita...Elfu 35000 tu .... Umeiwekea bando kbs tuidiscuss Huku..kweli? Samehe tu

Weka namba ya simu Mwanangu....18,500 Mimi nitakutoa....Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.