Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Status
Not open for further replies.
Ningekuwa mimi ningekomaa hilo rungu limshukie kwanza dem kwenye kijambio, lakn kabla hawajaanza kumtusua ningepata wasaa wa kupambana nao hasa kwa kumpa kubwa mpakuaji then wengine lazima wangepoteana. Siwezi kumkimbia demu wangu na kumuacha katika mazingira hayo tena usiku.
Btw nimecheka sana!
 
Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.

ha ha ha ha ha pole sana mkuu, yani bado kidogo tu masela wakupige shingo
 
Eti walitaka 'kunigegeda' dah vitu vingine mnavyoandika sisi huwa tunaweka alama fulani hivi......Dah kwa kweli mwanaume hutakiwi kuandika hivyo.! unaandika as if ni kitu cha kawaida!
tena ameweka kwenye heading/title dah so bad.
 
ila mnapotezaje hela watu wote wawili??? mlichukua unnecessary risk,kwanini msingetafuta means nyingine mfike huko mnakoenda,walau mchukue bajaji mngempa hela nyumbani au mumrushie tigopesa/mpesa na hata kama huna ungmwomba mshkaji wako!!!, unajijua nguvu huna unan`ang`ang`ana kutembea usiku.tena na mrembo
 
Humu jf kunawatu wamepinda bro pole sana ungeliwa kabang kweli ungesema
 
Dah nimecheka sana haka kamovie kadogo ila sipati picha, lazima demu wako akudharau sana mkuu dah haya mambo ya vibaka mabaya


Sent from Mchina
 
Dogo katunga stori. Hilo eneo tunalijua sana haiwezekani kwa saa 5 kufanyika vitendo hivyo.
 
U don't deserve to be a man

Unakimbia na kumwacha gal wako....
May be cos ni demu..ila angekuwa girlfriend usingemwacha au
 
You're just a coward dude and that's very sad.
 
saa tano...mwenge TRA...
nenda kwa Shigongo..
 
Dogo katunga stori. Hilo eneo tunalijua sana haiwezekani kwa saa 5 kufanyika vitendo hivyo.

Sure mkuu, saa 5 ni mapema mno eneo hilo na kuna mzunguko wa watu hapa na pale
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom