Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.
MREJESHO WAKUU
Jana mida ya saa kumi na mbili jioni demu wangu alikuja ninapoishi akanikuta nafua, alipofika mi nilikuwa sijamuona nikasikia mtu anacheka. Nikageuka nikamuona ni yeye, akazidisha kucheka namimi nikaanza kucheka. Akawa ananicheka huku ana igiza maneno niliyokuwa najitetea kwa wale jamaa wakati wananivua nguo. nikamuuliza kiliendelea nini, anasema jamaa walimtukana kibwana chako chenyewe kioga tu na angebaki angejua sisi ni nani leo. wakamuachia akarudi kwake.......... mwisho wa siku tukaishia kucheka tu, namshukuru sana Mungu tigo yangu imepona.