miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Ungewaacha wakugegede japo kidogo ili upate ushahidi ukawashtaki, ulikosea sana kukimbia.
Baba V loh!
Ungewaacha wakugegede japo kidogo ili upate ushahidi ukawashtaki, ulikosea sana kukimbia.
kwi,,kwii,,kwii,,!!!! nilikuwa nimejaa stress za kuachwa na demu wangu leo ila kwa hii u made ma day gud,,, teehh,,tehh,,tehh,,,,!!!!Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.
Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.
mkuu umenikumbusha hata mimi nilishakimbiaga soo na kumuacha dem japokuwa yangu ilikuwa tofauti kidogo!
Ni hivi nilikuwa chuo mwaka wa Pili, sasa kuna she wa mtaa nilikuwa nasuuza...siku moja tuko naye tukakatiza maeneo fulani mtaani, kumbe bwana maeneo hayo kulikuwa na nyuki na walikuwa wamechokozwa muda si mrefu! Sisi hatuna habari tumeshikana mikono huku tunadanganyana kuwa nikimaliza chuo ntamuo bila kuweka muda wa kuzunguka na baasha.... Ghafla nikasikia kama ncha imenichoma kichwani...eheh mara nyingine na nyingine...nikamvuta demu mkono ghafla kuashiria tukimbie maana nyuki hana Baunsa, Duh demu akaleta za kukimbia slow motion kama anakimbia pembezoni mwa beach na vazi la ufukweni na huku mishale ya nyuki inazidi nikajisemea walahi huyu bila kumuacha nikamsubirie kwa mbali hata ongeza speed....Trust me sikufika mbali she was at my back! these creatures...Damn them!