Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Status
Not open for further replies.
mkuu umenikumbusha hata mimi nilishakimbiaga soo na kumuacha dem japokuwa yangu ilikuwa tofauti kidogo!

Ni hivi nilikuwa chuo mwaka wa Pili, sasa kuna she wa mtaa nilikuwa nasuuza...siku moja tuko naye tukakatiza maeneo fulani mtaani, kumbe bwana maeneo hayo kulikuwa na nyuki na walikuwa wamechokozwa muda si mrefu! Sisi hatuna habari tumeshikana mikono huku tunadanganyana kuwa nikimaliza chuo ntamuo bila kuweka muda wa kuzunguka na baasha.... Ghafla nikasikia kama ncha imenichoma kichwani...eheh mara nyingine na nyingine...nikamvuta demu mkono ghafla kuashiria tukimbie maana nyuki hana Baunsa, Duh demu akaleta za kukimbia slow motion kama anakimbia pembezoni mwa beach na vazi la ufukweni na huku mishale ya nyuki inazidi nikajisemea walahi huyu bila kumuacha nikamsubirie kwa mbali hata ongeza speed....Trust me sikufika mbali she was at my back! these creatures...Damn them!

Hahaha,dah,hapa sasa nimecheka!
 
Mshukuru MUNGU kama hayajakukuta Mkuu.

Haya mambo yapo sana tena hiyo mitaa aliyoandika jamaa hapo ndio BALAA

Na kama uamini ili TUKIO NI LA KWELI basi utakuja kuamini siku litakapokuvaaa wewe au mtu wako wa karibu.

mkuuu mitaa hiyo ungenambia wale jamaa wapiki piki ningekubali lakini sio wezi wakukaba na Kubaka MKUU.
 
Mshukuru MUNGU kama hayajakukuta Mkuu.

Haya mambo yapo sana tena hiyo mitaa aliyoandika jamaa hapo ndio BALAA

Na kama uamini ili TUKIO NI LA KWELI basi utakuja kuamini siku litakapokuvaaa wewe au mtu wako wa karibu.

1day nikiwa musma ilitokea hyo lakin nilikaza kinyama walikuwa watat alafu kama dizain mwl nawazid,nikamwambia mtoto akimbie me nikabaki nao,nilipogundua kama mke kafika mbal me nae nuk upand wa pili,bora kufa kuliko umpendae kubak katk mazingra tatanish.musoma kaka yake watakuwinda.
 
siku nyingine upokee hiyo simu ya mpz wako coz anaweza kuwa amejeruhiwa anahitaji msaada wako, sasa unapokataa kupokea simu yake na ilihali umwacha kwenye tukio baya hapo unaonesha upendo wako kwa mpz wako ni 0%, huyo demu wako angekuwa na akili atakupiga chini.

umeona ndug?
 
uoga mbya kwe2 kule ndio maana tumatahriwa bila ganz ili uwe jasir,pale unadash kwa vocal ya kalapina,au we mtoto wa get nin?
 
bhita ni bhita mura!

ungepighana nao tu bhana!
 
jamaa story zako uwaga zinanipa mashaka...je kama uligegedwa unaweza kutuambia ukweli....
 
hii siledi imenifanya nicheke,, mrejesho wake ndo balaa zaidi.
 
Una uhakika gani demu wako aliachwa bila kugegedwa?

Hujui kwamba wanawake huwa wanaficha aibu kama hizo wakihofia kuachwa?

Nakushauri muende wote Hospitali akapimwe huendwa alibakwa anaona aibu kukuelezea akihofia wewe kumuacha kimahusiano!!
 
Watu na mikasa yao bwana! Siku nyingine mkuu wakikuzidi ujanja na kukugegeda tunaomba utupe taarifa, tena kwa thread nyingine
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom