Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Status
Not open for further replies.

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.

MREJESHO WAKUU
Jana mida ya saa kumi na mbili jioni demu wangu alikuja ninapoishi akanikuta nafua, alipofika mi nilikuwa sijamuona nikasikia mtu anacheka. Nikageuka nikamuona ni yeye, akazidisha kucheka namimi nikaanza kucheka. Akawa ananicheka huku ana igiza maneno niliyokuwa najitetea kwa wale jamaa wakati wananivua nguo. nikamuuliza kiliendelea nini, anasema jamaa walimtukana kibwana chako chenyewe kioga tu na angebaki angejua sisi ni nani leo. wakamuachia akarudi kwake.......... mwisho wa siku tukaishia kucheka tu, namshukuru sana Mungu tigo yangu imepona.
 
hahahahaha JF raha sana..pole sana ndugu..mwanaume wa kweli ni jasiri..we kwakua ni mpenz wako mtafute mpeane pole yaishe
 
ha ha ha ha ha ha uwiiiiii .... pole sana mkuuu mtafute kesho usiku mwambie ulikuwa umezimia ndo umezinduka mda si mrefu ungefanywa chakula
 
Eti walitaka 'kunigegeda' dah vitu vingine mnavyoandika sisi huwa tunaweka alama fulani hivi......Dah kwa kweli mwanaume hutakiwi kuandika hivyo.! unaandika as if ni kitu cha kawaida!
 
Mtendee haki huyo mdada onana naye muongeee muangalie what forward labda polisi au hospitali au kusaidiana kidogo walau vinguo viwili vitatu na kamsosi kutokana na hali yake.

Siwezi kukulaumu kwa kukimbia maana hukuwa na jinsi uliokoa uhai ambao wangeweza kukuondoa au kukuacha.

Ila ni aibu kutokukubali kuonana naye na kudanganya haupo ni aibu kubwa sana kwa mwanaume maana unatakiwa kuface challenge na kaangalia the way forward.

N kawaida katika maisha kukutana na ajali kama hizo,hata kama mngegedwa wote mlipaswa kuwa pamoja na kuangalia nini cha kufanya baada ya ajali hiyo pamoja.
 
network inagoma kwangu nashindwa kuisoma hii sread
 
Ha hahaha duh nimecheka mpaka watu wamenishangaa.. Polee mkuu ila ungejitosa kumsaidia hata ukigegedwa
 
hata kama ungekuwa umemuowa na mko kwenye jumba zuri gorofa bado haiondoi kukutana na ajali kama hizo, ila nimejisikia aibu sana ulivyodanganya kuwa hauko home.

katka maisha ajali ziko nyingi ngumu,mke anaweza kuwa kichaa utamkimbia? au wewe kufanyiziwa mbele yake akukimbie? hapo nendeni polisi, muende hospitali apimwe na mambo mengine ya hospital, kama kuna msaada mwingine wa kibinadamu mnasaidiana kama mnauwezo
 
Hahahaaaaaa..... Yaan nimejikuta nacheka tuuu...!
 
ahahahahahhhh......uwiiii, u made my evening lol!
jioni njema HIGH SCHOOL
 
Last edited by a moderator:
Hahaa.. Pole sana,tulimalizia hasira kwa demu wako mtafute akusimulie
 
Ungewaacha wakugegede japo kidogo ili upate ushahidi ukawashtaki, ulikosea sana kukimbia.
 
Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.

:eyebrows::eyebrows: jamani nimecheka leo hakuna mfano, duh poleni sana
 
mkuu umenikumbusha hata mimi nilishakimbiaga soo na kumuacha dem japokuwa yangu ilikuwa tofauti kidogo!

Ni hivi nilikuwa chuo mwaka wa Pili, sasa kuna she wa mtaa nilikuwa nasuuza...siku moja tuko naye tukakatiza maeneo fulani mtaani, kumbe bwana maeneo hayo kulikuwa na nyuki na walikuwa wamechokozwa muda si mrefu! Sisi hatuna habari tumeshikana mikono huku tunadanganyana kuwa nikimaliza chuo ntamuo bila kuweka muda wa kuzunguka na baasha.... Ghafla nikasikia kama ncha imenichoma kichwani...eheh mara nyingine na nyingine...nikamvuta demu mkono ghafla kuashiria tukimbie maana nyuki hana Baunsa, Duh demu akaleta za kukimbia slow motion kama anakimbia pembezoni mwa beach na vazi la ufukweni na huku mishale ya nyuki inazidi nikajisemea walahi huyu bila kumuacha nikamsubirie kwa mbali hata ongeza speed....Trust me sikufika mbali she was at my back! these creatures...Damn them!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.........................
 
Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.
Pole mkuu mbavu sina
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom