Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

Status
Not open for further replies.
sasa kwanini ulikimbia?

si ungesubiri uone wanataka kufanya nini? lols!

ungewaambia umevaa pedi kulaleki! **** lini mwanaume akagegedwa****
 
Kama nampenda kweli nisingekimbia nimwache peke yake. Fasta ningeenda polisi au kukusanya watu ka msaada!!! Mapenz n sacrifice
 
Hahahhahhhahhaha Gogle remix wallah
 
Last edited by a moderator:
Dah... aiseee...

Hivi mwanaume huwa anagegedwa? Au kugegedwa maana yake nini?
 
siku hizi mmu kuna vichekesho vingi sana kiasi kwamba sihitaji tena kwenda jukwaa la jokes!
 
Ha ha ha talk if the day its fun though not reality
 
pole sanaaaa..ila nmecheka sana jinsi ulvyosimulia khaaaa,teh teeeeeh tehh
 
Jana usiku kwenye nida ya saa tano usiku nikiwa nimetoka maeneo ya sinza natembea kwa mguu na demu wangu tunaelekea survey tukafika maeneo ya mwenge pale TRA, tukasimamishwa na vibaka wawili ile kusimama tukazungukwa na vibaka kama watano wameshika dis piss na visu wakasema tutoe hela, tukawaambia tumepoteza hela zote na ndio maana tunatembea kwa mguu basi wakatukagua mifukoni kweli hawatukuta na hela ila wakachukua simu. wakamvua nguo demu wangu mi nikawa sina ujanja maana walikuwa na visu, ningefanyeje sasa? wakataka kumgegeda wakakuta amevaa ped wakumuacha wakasema RUNGU LA BABU HALILALI HIVI HIVI, wakaanza kunitoa nguo katika hali ya kushangaza wakati nimebaki na boxer ndio wanataka kumalizia wanigegede nilipata nguvu sijui kutoka wapi nikawaponyoka woote nikaanza kukimbia na demu wangu nikamuacha, sijajua nini kiliendelea kwake. naona aibu kumtafuta, ila yeye alimpigia simu mshikaji wangu ninaye kaa nae akasema anataka kuongea na mimi, nikamwambia jamaa aseme sipo. YAANI NAONA AIBU SANA KWA KWELI, NA WANGENIGEGEDA JANA SIJUI NINGEMUANGALIJE SIKU ZA MBELE.

Dah mkuu hiyo njozi yako ilikuwa ni ya hatari sana.

Acha masihara bana, saa tano usiku mbona watu kibao tu barabarani, au mlikuwa mnagegedana vichakani?
 
Kaka pole sana kwa yaliokusibu. Chamsingi mtafute mwenza wako muongee myamalize. Mikasa ya maisha kama hiyo hutokea
 
mkuu umenikumbusha hata mimi nilishakimbiaga soo na kumuacha dem japokuwa yangu ilikuwa tofauti kidogo!

Ni hivi nilikuwa chuo mwaka wa Pili, sasa kuna she wa mtaa nilikuwa nasuuza...siku moja tuko naye tukakatiza maeneo fulani mtaani, kumbe bwana maeneo hayo kulikuwa na nyuki na walikuwa wamechokozwa muda si mrefu! Sisi hatuna habari tumeshikana mikono huku tunadanganyana kuwa nikimaliza chuo ntamuo bila kuweka muda wa kuzunguka na baasha.... Ghafla nikasikia kama ncha imenichoma kichwani...eheh mara nyingine na nyingine...nikamvuta demu mkono ghafla kuashiria tukimbie maana nyuki hana Baunsa, Duh demu akaleta za kukimbia slow motion kama anakimbia pembezoni mwa beach na vazi la ufukweni na huku mishale ya nyuki inazidi nikajisemea walahi huyu bila kumuacha nikamsubirie kwa mbali hata ongeza speed....Trust me sikufika mbali she was at my back! these creatures...Damn them!

Awww!! That's was comic and.funny!!

I feel ya davie.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom