twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Wewe nawe boya kweli yani ulivyokimbia ndo hukurudi tena.Hapo dawa ilikuwa ni kurudi ntu nyomi na kuokoa mateka fasta.Ona sasa demu wako washamfira.Jinga wewe.
Haniwezi huyu
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
hahaha lol.... hufai kuwa mume weye....
sasa kwanini ulikimbia?
si ungesubiri uone wanataka kufanya nini? lols!
ungewaambia umevaa pedi kulaleki! **** lini mwanaume akagegedwa****
Eti walitaka 'kunigegeda' dah vitu vingine mnavyoandika sisi huwa tunaweka alama fulani hivi......Dah kwa kweli mwanaume hutakiwi kuandika hivyo.! unaandika as if ni kitu cha kawaida!