Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
Kwasababu wanachojua wanawake wengi wakikutana na wanaume ni kula kwanza,ila mim sijazoea kumnulia dem chakula ila kuna vitu muhimu namnulia kila nnapoonana nae na hufurahi.
 
Nyie watoto wa kileo hamuwezi kuyajua haya! Unaanza shule na 3,4 au 5 years? Wakati huo wenzenu tulikua bado tunanyonya
hahaa umri huo bado wanyonya'" bimkubwa alikuwa haogopi kung'atwa chuchu zake
 
Kawaida sana aiseeeh! Unaenda kucheza au kuwinda ndege huko,ukirudi unasogeza kigoda unakaa kisha unatoa nyonyo mwenyewe unaendelea kunyonya! Uking'ata adhabu zilikuwepo
hahaa umri huo bado wanyonya'" bimkubwa alikuwa haogopi kung'atwa chuchu zake
 
Hujui pesa hufurahisha mapenzi,,muda wote huo asubiri ndoa huku wanakupendezeshea kina nani?jifunze kutoa pesa nyingi ili utafute zaidi,ukiwa na demu hakuombi pesa nyingi mkimbie utakuwa maskini utajuaje namna ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi kuna vitu muhimu mnavitaka kuliko pesa,japokua pesa nayo inasaidia katika mapenzi ila vijana wa sasa tumeshindwa kubalance hvyo vitu na mwsho wa siku kikubwa tunachokipata ni ngono kuliko mapenzi.
 
Hahahha kwani zamani hakukuwa Na hotpots sio zamani za kale lakini?
Nada...

Just em' traditional pots zile zimefanywa na clay...

To preserve the food hot ilikuwa inalazwa katika majivu yenye moto kwa mbali...

Btw how's everthing...kitambo sana..
 
Nada...

Just em' traditional pots zile zimefanywa na clay...

To preserve the food hot ilikuwa inalazwa katika majivu yenye moto kwa mbali...

Btw how's everthing...kitambo sana..

Ooooh Ahsante kwa kunielimisha.

Alhamdulilah kila kitu kiko sawa vipi Na wewe.
 
Wangu alinijali sana hata nilipopata matatizo ya kuvamiwa Na kufilisika Aliniletea Chai asbh, Mchana chakula, Usiku Chakula Kodi ya Nyumba Umeme, Maji, Alilipa yeye Kibaya ni kuwa Alikuwa anaiba pesa Dukani kwao ananiletea, Tulidumu kwenye mahusiano miaka 13 lakini mpaka sasa Sijui alipo na anafanya nini? Tulipendana sana mji wa Musoma walitujua.
 
Zamani sana, ili msichana akuaminishe kuwa atakuja gheto basi una mwambia akuachie khanga uende nayo kwa maana lazima ataiijia tu hiyo khanga na we ndo utampata bila kukuchenga
 
Mkri tu kuwa hamjui kupika ukiona kwenu wamechelewa unakimbilia kwa jamaa akakununulie msosi
Ni wachoyo tu na umaskini unawasumbua,kuna wanaume vitu kama chakula wanaona ni vya lazima kwa mtu,G wangu akipiga simu cha kwanza salamu cha pili anauliza nimekula nini au nataka kula nini
Ndio mwanaume tu chakula kinamuuma ataweza kukunulia hata simu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wachoyo tu na umaskini unawasumbua,kuna wanaume vitu kama chakula wanaona ni vya lazima kwa mtu,G wangu akipiga simu cha kwanza salamu cha pili anauliza nimekula nini au nataka kula nini
Ndio mwanaume tu chakula kinamuuma ataweza kukunulia hata simu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna aliekua anatoka kwao na njaa nikimuuliza unakula nini anasema hapana sili, kumbe ana njaa kanywa chai tu, alkua akiniogopa balaa wakati mi mpolee
 
asante sana mama! mm mwanaume ambaye simwelew namgwaya wala hua sili..wengne tunakula kuku mzima...aku bibi wee! ndo maana inashauriwa uwe nakahela kako..ukipata hamu ya ka kvant chupa mpya unajiagizia!
mm mwanaume mchoyo jaman sipend ht ukaribu naye coz mm sion shida kama ninayo
We jamaa bwabwa kuna uzi ulisema we dume nikakushauri ubadili avator yako, leo unajifanya mwanamke huna maana kabisa acha ujinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom