Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
Hahahahahaaa. Sasa MTU si anasikia njaa jamani asile?Mkuu tatizo sio kumnunulia chakula, tatizo ni misosi itakayoagizwa utafikiri hatakula tena maisha
Hahahahahaaa. Sasa MTU si anasikia njaa jamani asile?Mkuu tatizo sio kumnunulia chakula, tatizo ni misosi itakayoagizwa utafikiri hatakula tena maisha
Duh ni hatari mkuu, halafu eti kuna watu wanasema Wanawake huwa hawali sana!!Hahahahahaaa. Sasa MTU si anasikia njaa jamani asile?
Hahahahahaaa. Tunakula kidogo tu sisiDuh ni hatari mkuu, halafu eti kuna watu wanasema Wanawake huwa hawali sana!!
Yap kama mim navyopenda kula jamani kama mwanaume mchoyo na mbinafsi atateseka sana ,na mnavyojua kutubinua acheni tukija tule tuView attachment 878723
Mkitutongoza na matatizo yananziaga hapo hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa demu kama huyo wakazi gani sasa"... maana ukimpinda dog style" Akitokea mtu ghafla anaweza kwenda kukuitia police " Akidhani kuwa unamlawiti KIBOKO
Eheee unajua kabisa huyu mwanaume wa kupita tu halaf eti umpikie,umfulie inahusuu,hayo tunafanya kwa wanaume wanaoyujali na kutupenda kwenye shida na raha,au ile mmeanza tu mahusiano jamani mtu anataka umfulie sijui umpikie,,nawapenda sana wale wanaume wa kukutana hotel tu mnakula bata kisha mnasepa ,pia kuna wanaume ukienda magetoni kwao unakuta chakula kishapikwa kabisaMimi najua kupika ila kuna sehemu nikienda hata Maji ya kuoga sichemshi kwa sababu nilienae hastahili hizo huduma nzuri. Na ndio maana Kama nakuja kwako nitakwambia bby ninunulie Chakula sio bby nunua nikija nipike.
Tatizo lenu wanaume mnahisi nyie pekee ndo mnaweza kujua huyu chapa ilale huyu moyo umetulia. Hata sisi tunaingiaga kwenye relationship halafu tunagundua hapa hamna kitu. Ndo nikija kwako nakuja Mimi na tumbo langu na smartphone yangu.
Ahahahhahaha mi situmiii lakin makeup mara moja moja si mbaya wanawake na urembo ni watu wanaopatanaJF hamna mwenye makucha marefu,mvaa mawigi wala mtumia make-ups
Pia na soda hatunywiSasa kama hatunywi mnataka tuseme tunakunywa tumfurahishe nani sasa?
Soda pia hatunywi babuWala hawanywi balimi, konyagi wala safari lager.
Hapo nakula samaki wote na mchicha,ugali kidogo mno,nijamne yanuke kwani nimekula maharagwe?Mmh unashindilia hilo lisamaki, sasa muda wa kugegedana, ukijamba si chumba chote kitakuwa na harufu ya MV nyerere Mama Sabrina
HAHAHANimetoka kwa fulbeki mda huu
Najiskia mwepesiiiiiii,ngoja nikaoge nilale sasa