RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,385
- 139,186
Nafikiri wanashangaa inakuwaje mtu anasikia njaa kila wakikutana.Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
Nafikiri wanashangaa inakuwaje mtu anasikia njaa kila wakikutana.Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hahaa demu kama huyo wakazi gani sasa"... maana ukimpinda dog style" Akitokea mtu ghafla anaweza kwenda kukuitia police " Akidhani kuwa unamlawiti KIBOKO
Hahaha mtu wa hivyo hata hamu huwa inakata kabisa hata kama kavua.Hahaa demu kama huyo wakazi gani sasa"... maana ukimpinda dog style" Akitokea mtu ghafla anaweza kwenda kukuitia police " Akidhani kuwa unamlawiti KIBOKO
ha ha ha ila kwa kweli ni hatariHahaaa", umenikumbusha mbali mkuu".... hawa mademu wa siku hizi nikichomi" Yaani waweza kuwa juu ya kiuno washangaa mtu anaanza kukulilia shida zake" Akianza kukupa hizo ABC zake" .... mpaka uume wote unanywea na bao kama lilikuwa linataka kuja linagairi nakurudi kwao'...
Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
Hahaa acha tu chief " ni hatariHahaha mtu wa hivyo hata hamu huwa inakata kabisa hata kama kavua.
Kitu pekee kinachobaki kinachovutia ni tabasamu tu
hilo ndio zaidi"... tena saa 10 alasiri" ina maana mchana hakuwa amekula"??Nafikiri wanashangaa inakuwaje mtu anasikia njaa kila wakikutana.
[emoji101][emoji101][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]dada mimi wa kitombo hivyo hapa sihusiki
Ni wachoyo tu na umaskini unawasumbua,kuna wanaume vitu kama chakula wanaona ni vya lazima kwa mtu,G wangu akipiga simu cha kwanza salamu cha pili anauliza nimekula nini au nataka kula nini
Ndio mwanaume tu chakula kinamuuma ataweza kukunulia hata simu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusaidia kushangaa hata Mimi!!!!!Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakusaidia kushangaa hata Mimi!!!!!
Yaani ni aibu kinena na tumbo vinakuwa unproportional.
Ukiangalia nyuma hakutofautiani na mbele yaani basi tu kama umekitana na kivolkswageni hivi
Zamani ipi hiyo yenye kuwepo 'hotpots'?
Mama Sabrina.....!Ni wachoyo tu na umaskini unawasumbua,kuna wanaume vitu kama chakula wanaona ni vya lazima kwa mtu,G wangu akipiga simu cha kwanza salamu cha pili anauliza nimekula nini au nataka kula nini
Ndio mwanaume tu chakula kinamuuma ataweza kukunulia hata simu [emoji23][emoji23][emoji23]
kweli bwana. Kule kwetu senene wakitoka tu jua wa kwanza wako. Wapo kwenye kisosi wamefunikwa vizuri na kupambwa na ua. Siku hizi anakuomba pesa za kuwanunua lakini hakuleti hata mmoja.