Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Hujui pesa hufurahisha mapenzi,,muda wote huo asubiri ndoa huku wanakupendezeshea kina nani?jifunze kutoa pesa nyingi ili utafute zaidi,ukiwa na demu hakuombi pesa nyingi mkimbie utakuwa maskini utajuaje namna ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23]
pesa hufurahisha maisha au basic needs mzipate ikiwemo penzi..ila sio sawa kusema moja kwa moja pesa hufurahisha penze,,,wapo wenye pesa ndani na kunawaka moto hakuna mapenzi...so v=better to put a line ...mapemzi sio pesa..pesa ni za kupata basic needs..mahitaji na zaidi..penzi ni moyo wa mtu kumkubali na hali yake......
 
Kweli nilikuwa na mpikia baby wangu ila siku moja baada yakuja namavyakula mengi mengi nakuta mlangoo upo wazi kidogo nikaingia nimesukuma pazia nawaona wako busy makiss kibao nikaona niwapige picha nikaondoka kuondoka sijui aliniona akanikimbilia babe sio hvyo nikatoka mdogo nikaenda kurudi nikala mwenyewe tokea hiyo siku nakula najipeleka mimi na kama mimj shukuru kama hata nitakukiss kwa mahaba labda uwe na hela walahi au nimekupenda tu.
Sasa hivi pesa ukiwa nayo ndio unaitwa baby huna kalale njaa yako.
 
pesa hufurahisha maisha au basic needs mzipate ikiwemo penzi..ila sio sawa kusema moja kwa moja pesa hufurahisha penze,,,wapo wenye pesa ndani na kunawaka moto hakuna mapenzi...so v=better to put a line ...mapemzi sio pesa..pesa ni za kupata basic needs..mahitaji na zaidi..penzi ni moyo wa mtu kumkubali na hali yake......
Mapenzi na njaa ni vitu tofautii ni kweli usimpendee mtu pesa lakin pesa ni nzurii
 
kula
Yap kama mim navyopenda kula jamani kama mwanaume mchoyo na mbinafsi atateseka sana ,na mnavyojua kutubinua acheni tukija tule tuView attachment 878723
kula raha tena kula vizuri...ni starehe...yani niache kula sasa ntabinuana vipi na wewe...raha ya kubinuana mmeshiba freeeesh.....lazima ukinitembelea kama msichana mi naweka mazingira safi..tupike au tufanye chochote...kama umeshakula sawa...au tunatoka out af tusile ndio nini....lazima ma sekela sijui sakala yahusike etc
 
Tena Na ukute ubwabwa umepambiwa msafiii umefanya mlima kama mountain Kilimanjaro [emoji39][emoji39][emoji39]
Wachache sana wanayajua haya siku hizi.
Basi hakuna Kitu kinachokera kama kwenda kwa demu akakukaribisha soda na mikate.
 
kula

kula raha tena kula vizuri...ni starehe...yani niache kula sasa ntabinuana vipi na wewe...raha ya kubinuana mmeshiba freeeesh.....lazima ukinitembelea kama msichana mi naweka mazingira safi..tupike au tufanye chochote...kama umeshakula sawa...au tunatoka out af tusile ndio nini....lazima ma sekela sijui sakala yahusike etc
Waambie wenzio wachoyo wachoyoo,sie wengine waume zetu wana nguvu usipokula kwenye game unazimia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
upo darasa la 3 4. then ulikuwa umeshaanza kufanya matusi "'?
Darasa la3 mbn kama alichelewa, wengine tulianza class two, kufikia class iii nikatongoza demu wa class vi alinielewa sana sema mother alikuja kushtukia mchongo akaharibu game, kikao cha nguvu na demu akaitwa akaonywa daaah!
 
Daaaah! Hili tusi la mwendokasi aisee
Hahaa demu kama huyo wakazi gani sasa"... maana ukimpinda dog style" Akitokea mtu ghafla anaweza kwenda kukuitia police " Akidhani kuwa unamlawiti KIBOKO
 
Wachache sana wanayajua haya siku hizi.
Basi hakuna Kitu kinachokera kama kwenda kwa demu akakukaribisha soda na mikate.

🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] uyo hakupendi soda Na mikate chemistry gani iyo jamani..
 
Darasa la3 mbn kama alichelewa, wengine tulianza class two, kufikia class iii nikatongoza demu wa class vi alinielewa sana sema mother alikuja kushtukia mchongo akaharibu game, kikao cha nguvu na demu akaitwa akaonywa daaah!
hahaaa shule mlikuwa mnaanzishwa manjemba Au ""? daaahh
 
Ukimpendea mtu kitu kimoja siku akiwa hanacho utapata tabu sanaa
ni kweli na inashauriwa penda kwa vitu vya kudumu kama tabia, bidii na nk. usitumie vitu vya muda mfupi kama vigezo kwa mfano umbile kama unene au wembamba nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom