Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Nimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula
1f602.png
😂
1f602.png
😂
1f602.png
😂
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi!
1f601.png
😁
1f601.png
😁
1f601.png
😁
1f601.png
😁
 
Nimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula
1f602.png
[emoji23]
1f602.png
[emoji23]
1f602.png
[emoji23]
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi!
1f601.png
[emoji16]
1f601.png
[emoji16]
1f601.png
[emoji16]
1f601.png
[emoji16]
Ila hotpot sio ya zamani ungesema kwenye 'kisufulia' halafu ndani ya ndoo hapo sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom