Abee ZurriMama Sabrina.....!
Nimefurahi kukuona....! Jana kuna uzi nilikuwa nasoma maoni yako. Hatari duniani.Abee Zurri
Assume tupo in relationship ya kawaida tu unasema nikununulie simuBaba yako ashindwe kukununulia Mimi ndo nije niikununulie? Siwezi kukununulia simu labda awe Mke hapo sawahehheeeeeeeeeeeeeeeee bhaeleze bhaelewe
Upo nadhanii ,,,wa money penny yale mambo hunoga usiku kuandika [emoji23]Nimefurahi kukuona....! Jana kuna uzi nilikuwa nasoma maoni yako. Hatari duniani.
Hivi ule uzi upo kweli au ushafutwa ? Maana kwa mtiririko ulikuwa hauvumiliki aisee.
UUUUUUUUUIIIIIII umenivuja bavu na kicheko mkuu, ati nini kaa wakibizi wa burudi, lakini ni kweli, hao wasichana siku hizi hata kupika hawajuiNimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula😂
😂
😂![]()
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi!😁
😁
😁
😁![]()
Sema tu huna pesa kaka [emoji23]Assume tupo in relationship ya kawaida tu unasema nikununulie simuBaba yako ashindwe kukununulia Mimi ndo nije niikununulie? Siwezi kukununulia simu labda awe Mke hapo sawa
Mbali na kuwa na pesa au la,for sure ni vigumu kufanya hivyo maana kuwa nimeona mifano mingi tu mtu mnaaminiana mwshoe mnakuja tengana sasa kwann nifanye vitu vya kupoteza pesa zangu kizembe, mahusianao Siku zote haipaswi utumie nguvu ili yaimarike Bali kuwa Mtulivu tu inatosha, na ukizingatia !tu kama mimi Mwenye nina malengo siwezi kuspend money kwa Mwanamke kama hanipendi au ananipenda itajulikana tu alikuja kwangu Nimpe hela au tuimarishe mahusiano kwenda kwenye ndoa?Sema tu huna pesa kaka [emoji23]
Hujui pesa hufurahisha mapenzi,,muda wote huo asubiri ndoa huku wanakupendezeshea kina nani?jifunze kutoa pesa nyingi ili utafute zaidi,ukiwa na demu hakuombi pesa nyingi mkimbie utakuwa maskini utajuaje namna ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23]Mbali na kuwa na pesa au la,for sure ni vigumu kufanya hivyo maana kuwa nimeona mifano mingi tu mtu mnaaminiana mwshoe mnakuja tengana sasa kwann nifanye vitu vya kupoteza pesa zangu kizembe, mahusianao Siku zote haipaswi utumie nguvu ili yaimarike Bali kuwa Mtulivu tu inatosha, na ukizingatia !tu kama mimi Mwenye nina malengo siwezi kuspend money kwa Mwanamke kama hanipendi au ananipenda itajulikana tu alikuja kwangu Nimpe hela au tuimarishe mahusiano kwenda kwenye ndoa?
Yani wanaona kama tunashiba mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
Na hivi nikwanini wanawake siku hizi mkitoa papuchi mnadhani nihaki yenu kupewa pesa??Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
hahaaaa kama ki VW dah mkuu wewe, ngoja nipunguze kula aisee hiki kitambi nimecheka mno wallahYaani ni aibu kinena na tumbo vinakuwa unproportional.
Ukiangalia nyuma hakutofautiani na mbele yaani basi tu kama umekitana na kivolkswageni hivi
Assume tupo in relationship ya kawaida tu unasema nikununulie simuBaba yako ashindwe kukununulia Mimi ndo nije niikununulie? Siwezi kukununulia simu labda awe Mke hapo sawa
Sasa hapo ndo ujue hakuna mapenz na ukiona msichana wa hivyoo hafai na sio mke huyo ni wife material, niache kuweka miradi ya maendeleo nianze kuweka pesa sehemu isiyo sahihi?Hujui pesa hufurahisha mapenzi,,muda wote huo asubiri ndoa huku wanakupendezeshea kina nani?jifunze kutoa pesa nyingi ili utafute zaidi,ukiwa na demu hakuombi pesa nyingi mkimbie utakuwa maskini utajuaje namna ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wanawafata watu wazima lakini Mwisho wa Siku huyo Dada amefata pesa sio Upendo,huyo mzee akiishiwa ghafla kitakachotokea ni kuachana upo apo? Na kama angempenda mtu kama mtu basi hata akiishiwa watadumu kwa sababu alimpenda kweli na hela ikiwepo basi wapendanao Hao wataenjoy Upendo huo Na hizo pesasimu inawezekana ikakushinda!hv unapungukiwa nn tukiagiza walau mbuzi na ugali tukala wote..ndo maana wadada wanawakimbiliaga watu wazima...hawanaga mapicha picha
Basi tu Mkuu si unakutana nae tu muonekano kama ka Volkswagenahaaahahaaaaaaaaaaahahahaah aisee ulivyokuwa unamtongoza hukujua hii volkswagen
hahaha kazi ni KULA NA KULA...hahah aumesomeka..ila wapo mwaka jana mshkaji kapanga vyumba vili sa nyumba kubwa kuna manzi,,baadae demu halisi alissafiri ile manzii kkaanza kumletea msosi chakula anakula halafu baadae wanaibia tena anakula..au asubuhi anakulaa...hhahahahahaNimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula😂
😂
😂![]()
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi!😁
😁
😁
😁![]()
wangu akija kunitembelea mara ya kwanza nilinunua kiti cha moto..next time nikafuata kuku tupike tule akansaidia akafurahi sana mwishi wa siku saafi..siku nyingine alikuwa kala nami nishakula..ikabidi ale masaj...yani msosi unanogesha sio sisi kuletewa tu..hata sisi wake au wapemzi wetu tunawaandalia platform ya msosi wawe comfortable,....muulize unapenda samaki au nyama au etc..wakati anakuja,...kyupi italowa tu mapema kabisa....sometimes sisi wanaume tunajisahau tu vitu vidogo vinalete sense sana....Kuna wanaume hapa duniani wanafaa wawe single tu ,wabinafsi sana
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Yap kama mim navyopenda kula jamani kama mwanaume mchoyo na mbinafsi atateseka sana ,na mnavyojua kutubinua acheni tukija tule tuwangu akija kunitembelea mara ya kwanza nilinunua kiti cha moto..next time nikafuata kuku tupike tule akansaidia akafurahi sana mwishi wa siku saafi..siku nyingine alikuwa kala nami nishakula..ikabidi ale masaj...yani msosi unanogesha sio sisi kuletewa tu..hata sisi wake au wapemzi wetu tunawaandalia platform ya msosi wawe comfortable,....muulize unapenda samaki au nyama au etc..wakati anakuja,...kyupi italowa tu mapema kabisa....sometimes sisi wanaume tunajisahau tu vitu vidogo vinalete sense sana....