Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Mbali na kuwa na pesa au la,for sure ni vigumu kufanya hivyo maana kuwa nimeona mifano mingi tu mtu mnaaminiana mwshoe mnakuja tengana sasa kwann nifanye vitu vya kupoteza pesa zangu kizembe, mahusianao Siku zote haipaswi utumie nguvu ili yaimarike Bali kuwa Mtulivu tu inatosha, na ukizingatia !tu kama mimi Mwenye nina malengo siwezi kuspend money kwa Mwanamke kama hanipendi au ananipenda itajulikana tu alikuja kwangu Nimpe hela au tuimarishe mahusiano kwenda kwenye ndoa?
Kaka nakuunga mkono.
 
Hujui pesa hufurahisha mapenzi,,muda wote huo asubiri ndoa huku wanakupendezeshea kina nani?jifunze kutoa pesa nyingi ili utafute zaidi,ukiwa na demu hakuombi pesa nyingi mkimbie utakuwa maskini utajuaje namna ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kupendezeshewa, Wazazi wake wakiwa wapi muda huo? Ndio maana siku hizi swala la Mahari kwa wanaume linazidi kuwa gumu, mtu ukitaka kumuoa kabla ya kumchumbia tu ukipiga hesabu unajikuta ungeshanunua Brevis.
 
Hapo kupendezeshewa, Wazazi wake wakiwa wapi muda huo? Ndio maana siku hizi swala la Mahari kwa wanaume linazidi kuwa gumu, mtu ukitaka kumuoa kabla ya kumchumbia tu ukipiga hesabu unajikuta ungeshanunua Brevis.
Haahahahhaah shhhhhhhhhh
 
Ni wachoyo tu na umaskini unawasumbua,kuna wanaume vitu kama chakula wanaona ni vya lazima kwa mtu,G wangu akipiga simu cha kwanza salamu cha pili anauliza nimekula nini au nataka kula nini
Ndio mwanaume tu chakula kinamuuma ataweza kukunulia hata simu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe nishazoea wanaume wanaohakikisha umekula kabla ya kila kitu. Hata bar lazima Nyama ziletwe na MTU ale. Hawa wenzetu wamekua wachoyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom