Fasouls
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 939
- 316
Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto akajaa nami nikazama,likizo ilipoisha nikasepa zangu shule,Niliporudi likizo nyingine sikumkuta ila kwa tetesi ilionekana kama amefukuzwa na mama mwenye nyumba! Duh ila mimi sikuamini! Ikanibidi niende kumuulzia! Ile kufika mama mwenye huyu hapa basi nikaamulizia kiaina akaniambia ni kweli ameondoka na hata rudi tena! Ikanibidi niondoke wakati naondoka akaniomba namba za simu...............bila kusita nikampatia! Wakati naondoka nilikuwa na uhakika kwamba house girl kaondoka na harudi tena!! Daah! Wakati wote huo nilikuwa nina bupa(ukwasu) kinoma si mnajua schools za boys au girls? Baada ya siku 2 nikapokea msg kutoka kwa mama mwenye nyumba kwamba tukutane faragha bila kusita nikakubali kwani jimama lenyewe linaumbo balaa+bupa(ukame) nililokuwanalo mzee nikajitosa kufika ajing'atang'ata pale ila mimi nilimuelewa zamani bila kupoteza mda nikaanzisha mada akaelewa kiraini nikaZAMA!! Basi mahusiano yakaanza hapo...! Mpaka sasa ila si sana kwani kwangu ila nitamaa tu na ninamuona kero sana maana tayari mimi nina mpenzi wangu pia ninaogopa mume wake asije akagundua kwan ninamheshimu sana!! Ila nikamwambia anasema usijali mbona ni kwa mda tu na wala hata gundua!! Jamani naomba ushauri zaidi ili niepuke hatari hii!nawasilisha..!