Nimemchanganya mama mwenye nyumba na house girl wake!! Part oNE!

Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto akajaa nami nikazama,likizo ilipoisha nikasepa zangu shule,Niliporudi likizo nyingine sikumkuta ila kwa tetesi ilionekana kama amefukuzwa na mama mwenye nyumba! Duh ila mimi sikuamini! Ikanibidi niende kumuulzia! Ile kufika mama mwenye huyu hapa basi nikaamulizia kiaina akaniambia ni kweli ameondoka na hata rudi tena! Ikanibidi niondoke wakati naondoka akaniomba namba za simu...............bila kusita nikampatia! Wakati naondoka nilikuwa na uhakika kwamba house girl kaondoka na harudi tena!! Daah! Wakati wote huo nilikuwa nina bupa(ukwasu) kinoma si mnajua schools za boys au girls? Baada ya siku 2 nikapokea msg kutoka kwa mama mwenye nyumba kwamba tukutane faragha bila kusita nikakubali kwani jimama lenyewe linaumbo balaa+bupa(ukame) nililokuwanalo mzee nikajitosa kufika ajing'atang'ata pale ila mimi nilimuelewa zamani bila kupoteza mda nikaanzisha mada akaelewa kiraini nikaZAMA!! Basi mahusiano yakaanza hapo...! Mpaka sasa ila si sana kwani kwangu ila nitamaa tu na ninamuona kero sana maana tayari mimi nina mpenzi wangu pia ninaogopa mume wake asije akagundua kwan ninamheshimu sana!! Ila nikamwambia anasema usijali mbona ni kwa mda tu na wala hata gundua!! Jamani naomba ushauri zaidi ili niepuke hatari hii!nawasilisha..!

Dah Pole sana Mdogo wangu. Kutokana na Tabia yako Mimi ningekushauri yafuatayo

1. Kwa sababu kama hujaukwaa bai umeshaukwaa nakushauri nenda kapime afya yako

2. Kama wewe ni Mchaga anza kabisa kutafuta Kiamba maana uchagani huwa hatuziki Mwai

Maana kama Hutakufa kwa Ngoma basi utapigwa risasi au panga na Mwenye Mke

kweli dunia kwisha kabisa, mtu hakazani na masomo kukimbizana na wake za watu!!!! mtoto mdogo wake za watu wa nini?? utafaulu shule kweli wewe?

Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto akajaa nami nikazama,likizo ilipoisha nikasepa zangu shule,Niliporudi likizo nyingine sikumkuta ila kwa tetesi ilionekana kama amefukuzwa na mama mwenye nyumba! Duh ila mimi sikuamini! Ikanibidi niende kumuulzia! Ile kufika mama mwenye huyu hapa basi nikaamulizia kiaina akaniambia ni kweli ameondoka na hata rudi tena! Ikanibidi niondoke wakati naondoka akaniomba namba za simu...............bila kusita nikampatia! Wakati naondoka nilikuwa na uhakika kwamba house girl kaondoka na harudi tena!! Daah! Wakati wote huo nilikuwa nina bupa(ukwasu) kinoma si mnajua schools za boys au girls? Baada ya siku 2 nikapokea msg kutoka kwa mama mwenye nyumba kwamba tukutane faragha bila kusita nikakubali kwani jimama lenyewe linaumbo balaa+bupa(ukame) nililokuwanalo mzee nikajitosa kufika ajing'atang'ata pale ila mimi nilimuelewa zamani bila kupoteza mda nikaanzisha mada akaelewa kiraini nikaZAMA!! Basi mahusiano yakaanza hapo...! Mpaka sasa ila si sana kwani kwangu ila nitamaa tu na ninamuona kero sana maana tayari mimi nina mpenzi wangu pia ninaogopa mume wake asije akagundua kwan ninamheshimu sana!! Ila nikamwambia anasema usijali mbona ni kwa mda tu na wala hata gundua!! Jamani naomba ushauri zaidi ili niepuke hatari hii!nawasilisha..!

Kijana Fasouls, usipochukua tahadhari mapema ya kuachana na zinaa/uzinzi, kifo kinakunyemelea kikutoe duniani wakati hata hujaanza kujijenga kimaisha kikamilifu!!!. Be careful!!!!

Fasouls, samahani naomba kuuliza swali. Ulifanikiwa kumaliza kusoma? Je ulipata division ngapi? Au bado unasoma? I can read btn the lines that you still a lower level in school or you complited by a failure!

Certainly you too failed miserably!

hivi uliona ndo umependwa sana ????? kaa ujiulize kama huyo mama kakuambia hivyo ina maana anapende serengeti boys .. je ni wangapi wamepita hapo??? kwa nini mnapenda kutafuta vifo???

Wachangiaji wengi mnatoa lawama bila kuangalia ukweli wa maisha ya leo ...

Wanawake WENGI walio katika ndoa wanakosa sana huduma ya "PENZI" na siku hizi wanamalizia hisia zao kwa Houseboys, barman, School boys/and girls, e.t.c Huyu kijana amejitahidi kuwa mkweli lakini naona walio wengi bado mmeshirikia msimamo wa zamani

- Mke wa mtu sumu (hawezi kuwa sumu wakati mume anaomba Mungu aachana naye!): Kimaumbile wanawake ni wavumilivu, lakini unapoona anafikia hatua anajitongozesha, fahamu fika, maji yamekwisha mwagika, ndoa inakuwa imekufa, in practical terms: ukweli ndiyo huo!

- Hauogopi magonjwa/kufa (at some stage and in some ways we are all bound to expire!: Hivi vitisho vilikuwepo kwenye 80's wakati AIDS inaitwa "slim" aka "juliana" - leo hii kama watu wenye umri kati ya 40-60 wangechukua uamuzi wa kwenda kupima kama wameambukizwa HIV, majibu yangekatisha tamaa jamii nzima: ukweli ndiyo huo. STIGMA hautatufikisha popote, we need to very very HONEST!

- Mtoa mada: Ushauri wangu kwako ni huu: Kaa na huyo Mama umweleze ukweli na mfanye uamuzi wa busara (either mfunge ndoa or muachane ili uendelee na mahusiano na huyo binti wa umri wako - and - if you choose the latter: hama mahala hapo.

- Karibuni Baracuda tupate mlo wa jioni

nashukuru mkuu kwa ushaur wako! Umenisaidia sana swala la kufunga nae ndoa hlo ni gumu kwan tayari wao wamejenga nyumba na mumewe na tayari wana mtoto mmoja!! Pia mim nimekaa kmya sababu nikiongea naonekana najitetea au nawadharirisha wanawake humu jf

Watu wajinga hawahitaji kuandiwa ama kubadikwa alama bali matendo yao ndio huwatambulisha kuwa wao ni wajinga , Elimu ya shule bado haitoshi mjinga anahitaji elimu ya malezi bora. FUNGUKA an KUAMKA FUTA UJINGA WAKATI ni HUU

Dogo umeidhalilisha udsm,bora hata ucngesema unasoma wap yaan.

Wachangiaji wengi mnatoa lawama bila kuangalia ukweli wa maisha ya leo ...

Wanawake WENGI walio katika ndoa wanakosa sana huduma ya "PENZI" na siku hizi wanamalizia hisia zao kwa Houseboys, barman, School boys/and girls, e.t.c Huyu kijana amejitahidi kuwa mkweli lakini naona walio wengi bado mmeshirikia msimamo wa zamani

- Mke wa mtu sumu (hawezi kuwa sumu wakati mume anaomba Mungu aachana naye!): Kimaumbile wanawake ni wavumilivu, lakini unapoona anafikia hatua anajitongozesha, fahamu fika, maji yamekwisha mwagika, ndoa inakuwa imekufa, in practical terms: ukweli ndiyo huo!

- Hauogopi magonjwa/kufa (at some stage and in some ways we are all bound to expire!: Hivi vitisho vilikuwepo kwenye 80's wakati AIDS inaitwa "slim" aka "juliana" - leo hii kama watu wenye umri kati ya 40-60 wangechukua uamuzi wa kwenda kupima kama wameambukizwa HIV, majibu yangekatisha tamaa jamii nzima: ukweli ndiyo huo. STIGMA hautatufikisha popote, we need to very very HONEST!

- Mtoa mada: Ushauri wangu kwako ni huu: Kaa na huyo Mama umweleze ukweli na mfanye uamuzi wa busara (either mfunge ndoa or muachane ili uendelee na mahusiano na huyo binti wa umri wako - and - if you choose the latter: hama mahala hapo.

- Karibuni Baracuda tupate mlo wa jioni

hapo kwenye ushauri wako hii sasa kali, nahisi wataka mpoteza kijana. mhhh makubwa haya.

Subiri yafuatayo..
1.kufa na ukimwi
2.kuliwa tigo
3.kuharibikiwa ktk masomo yako
4.baada ya kuliwa tigo kuitwa anti fasouls
Nb.nilikuwa napita tu hapo,soma sana kwa bidii ujenge maisha yako cha mwenzio sio chako hilo halikutadii...shaban abdu kandoro

Utayajua makali ya chumvi ya mawe na ya kusagwa ip kal cku akikutyt mwenye mali! shaul yako!1

Hapa ndio nyumba ya ushauri, wewe endelea na huo ujinga wako halafu siku ukipata ngoma njoo tena uombe ushauri na ninakuhakikishia kwamba ushauri utaupata tu.

Back
Top Bottom