Nimemchanganya mama mwenye nyumba na house girl wake!! Part oNE!

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
939
316
Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto akajaa nami nikazama,likizo ilipoisha nikasepa zangu shule,Niliporudi likizo nyingine sikumkuta ila kwa tetesi ilionekana kama amefukuzwa na mama mwenye nyumba! Duh ila mimi sikuamini! Ikanibidi niende kumuulzia! Ile kufika mama mwenye huyu hapa basi nikaamulizia kiaina akaniambia ni kweli ameondoka na hata rudi tena! Ikanibidi niondoke wakati naondoka akaniomba namba za simu...............bila kusita nikampatia! Wakati naondoka nilikuwa na uhakika kwamba house girl kaondoka na harudi tena!! Daah! Wakati wote huo nilikuwa nina bupa(ukwasu) kinoma si mnajua schools za boys au girls? Baada ya siku 2 nikapokea msg kutoka kwa mama mwenye nyumba kwamba tukutane faragha bila kusita nikakubali kwani jimama lenyewe linaumbo balaa+bupa(ukame) nililokuwanalo mzee nikajitosa kufika ajing'atang'ata pale ila mimi nilimuelewa zamani bila kupoteza mda nikaanzisha mada akaelewa kiraini nikaZAMA!! Basi mahusiano yakaanza hapo...! Mpaka sasa ila si sana kwani kwangu ila nitamaa tu na ninamuona kero sana maana tayari mimi nina mpenzi wangu pia ninaogopa mume wake asije akagundua kwan ninamheshimu sana!! Ila nikamwambia anasema usijali mbona ni kwa mda tu na wala hata gundua!! Jamani naomba ushauri zaidi ili niepuke hatari hii!nawasilisha..!
 
Sasa unataka ushauriwe ni wakati majibu yote yapo wazi, haya ushauri wangu ni huu;
  1. Achana na huyo mama mwenye nyumba ambaye tena ni mume wa mtu! Hebu fikiria mtu akimchukua huyo unayemuita girl friend wako uchungu wake utakuwaje sembuse mke wa mtu!
  2. Zingatia sana masomo, mapenzi yapo tu tena utayachoka
  3. Siku nyingine uachane kabisa na issue za mahouse girl, uzoefu wengi wameishia kuwapa mimba na kupata usumbufu usio wa lazima.
  4. Jiwekee malengo yako na uyasimamie ili yawe nusra kwako badala ya kwenda zig zag
Zingatia hayo.
 
Una Gf, na bado unamtaka huyo X-Houcgel, bado ume-mdandia mke wa mtu, na unaogopa kuingia kwenye hatari....kweli we hujitambui.
 
kumbe ndio maana afya yako mbaya hivyo?.....haya,jiandae na wewe kuto bupa tu,ndio ushauri wangu
 
Unataka ushauri wa aina gani?...... We umeshasema hautaki hatari, unataka nini zaidi ya kumuacha. Siku hizi wakikukamata na mke wa mtu unaliwa kiboga. Je upo tayar?
 
Acha tamaa achana na mke wa mtu ni sumu pia unaonekana bodo kijana mdogo sana weka bidii kwenye shule na epuka ngono na mahause girl na wake za watu
 
Kaka mwosha huoshwa, na wewe si utakuwa na Mke, madogo watakukamulia km wewe unavyokamua vya wenzio
 
mnh hvi hata shule umemaliza kweli...................a umemaliza ulifaulu?
baada ya majibu ya maswali haya tunataka ssa PART TWO
 
Hebu mcheki, sijui anadhani sifa, mtakuja kufia vifuani wazazi wenu watupe lawama za bure.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom