Nimemchanganya mama mwenye nyumba na house girl wake!! Part oNE!

unachokifanya unacho uhakika usije uka kamuliwa wewe achana na mke watu ni dhambi lakini pia ni laana maana ukikamatwa unaweza kuuawa au kama si hivyo utakuwa umeleta uaduni mkubwa sana hata kuangamiza familia yenu. kazania masomo starehe haziishi
 
kijana acha tamaa je huyo demu wako akijua itakuwaje? wanawake mtaendelea kudanganywa sasa, cheki sasa huyu jamaa mambo yake
 
Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto akajaa nami nikazama,likizo ilipoisha nikasepa zangu shule,Niliporudi likizo nyingine sikumkuta ila kwa tetesi ilionekana kama amefukuzwa na mama mwenye nyumba! Duh ila mimi sikuamini! Ikanibidi niende kumuulzia! Ile kufika mama mwenye huyu hapa basi nikaamulizia kiaina akaniambia ni kweli ameondoka na hata rudi tena! Ikanibidi niondoke wakati naondoka akaniomba namba za simu...............bila kusita nikampatia! Wakati naondoka nilikuwa na uhakika kwamba house girl kaondoka na harudi tena!! Daah! Wakati wote huo nilikuwa nina bupa(ukwasu) kinoma si mnajua schools za boys au girls? Baada ya siku 2 nikapokea msg kutoka kwa mama mwenye nyumba kwamba tukutane faragha bila kusita nikakubali kwani jimama lenyewe linaumbo balaa+bupa(ukame) nililokuwanalo mzee nikajitosa kufika ajing'atang'ata pale ila mimi nilimuelewa zamani bila kupoteza mda nikaanzisha mada akaelewa kiraini nikaZAMA!! Basi mahusiano yakaanza hapo...! Mpaka sasa ila si sana kwani kwangu ila nitamaa tu na ninamuona kero sana maana tayari mimi nina mpenzi wangu pia ninaogopa mume wake asije akagundua kwan ninamheshimu sana!! Ila nikamwambia anasema usijali mbona ni kwa mda tu na wala hata gundua!! Jamani naomba ushauri zaidi ili niepuke hatari hii!nawasilisha..!

Hadithi hii inatufundisha nini?
 
utakufa wewe acha upuuzi huo.
angalia part two yako usije kuomba ushauri wkt
unakojoa dagaa kama mdau mmoja alivyo kwambia.
 
Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto akajaa nami nikazama,likizo ilipoisha nikasepa zangu shule,Niliporudi likizo nyingine sikumkuta ila kwa tetesi ilionekana kama amefukuzwa na mama mwenye nyumba! Duh ila mimi sikuamini! Ikanibidi niende kumuulzia! Ile kufika mama mwenye huyu hapa basi nikaamulizia kiaina akaniambia ni kweli ameondoka na hata rudi tena! Ikanibidi niondoke wakati naondoka akaniomba namba za simu...............bila kusita nikampatia! Wakati naondoka nilikuwa na uhakika kwamba house girl kaondoka na harudi tena!! Daah! Wakati wote huo nilikuwa nina bupa(ukwasu) kinoma si mnajua schools za boys au girls? Baada ya siku 2 nikapokea msg kutoka kwa mama mwenye nyumba kwamba tukutane faragha bila kusita nikakubali kwani jimama lenyewe linaumbo balaa+bupa(ukame) nililokuwanalo mzee nikajitosa kufika ajing'atang'ata pale ila mimi nilimuelewa zamani bila kupoteza mda nikaanzisha mada akaelewa kiraini nikaZAMA!! Basi mahusiano yakaanza hapo...! Mpaka sasa ila si sana kwani kwangu ila nitamaa tu na ninamuona kero sana maana tayari mimi nina mpenzi wangu pia ninaogopa mume wake asije akagundua kwan ninamheshimu sana!! Ila nikamwambia anasema usijali mbona ni kwa mda tu na wala hata gundua!! Jamani naomba ushauri zaidi ili niepuke hatari hii!nawasilisha..!
Mada ya kitoto, akili kichwani kwako, kama unaona sifa endelea kukamua, za mwizi 40, utatia akili.
 
Mbona mnajudge umri kutokana na lugha iliyotumiwa? Kwan matumizi ya lugha tena written lang...hayaendani na umri kabsa
 
Hivi mitoto ya siku hizi ina matatizo gani? kweli humu siku hizi kumejaa viserengeti boys vinakeera. Mtoto mdogo hata vidato hujamailza unakuja kuandika vitu vya hivi hapa, halafu unaomba ushauri...kiukweli unaomba ushauri gani? you should be ashamed of what your doing, sijui kizazi hiki ni ca nyoka wa aina gani. Huyo mama plus we mwenyewe wapuuz. Sasa kama una galfriend wako ulimfata huyo mama wa nini? tukushauri nini sasa?
 
Tunajudge umri kwa kuwa tunajua mtu yoyote anayesoma bweni tena girls only au boys only bado ni mwanafunzi anayetakiwa kupewa uangalizi, tena under 18. So wewe hata ujitetee vipi, bado ni mtoto, na mambo ufanyayo at this age utakuja kuyajutia. Kama umeanza kubeba mijimama na umri huo unadhani future yako inasomekaje? Tafakari...Chukua hatua.
 
Hivi mitoto ya siku hizi ina matatizo gani? kweli humu siku hizi kumejaa viserengeti boys vinakeera. Mtoto mdogo hata vidato hujamailza unakuja kuandika vitu vya hivi hapa, halafu unaomba ushauri...kiukweli unaomba ushauri gani? you should be ashamed of what your doing, sijui kizazi hiki ni ca nyoka wa aina gani. Huyo mama plus we mwenyewe wapuuz. Sasa kama una galfriend wako ulimfata huyo mama wa nini? tukushauri nini sasa?
nakuambia hata shetani mwenyewe hakipendi kizazi kama hiki. yaani balaa tupu bora mamake angezaa mgomba kila msimu angepata ndizi. sidhani hata hiyo shule atatoboa vizuri manake nidhamu hana. JF ni pahali pa watu wazima tena wazazi wake halafu kidude kama hiki kinadhani kuandika mada kama hii ni sifa. pumbavu kabisa
 
jaman naomba ushauri!! Hilo pia ni tatzo! Mi sio njuka naingia mwaka pili sasa udsm na wala sikudisco!
shut Up!Shssss. udsm my foot. unafahamu kirefu cha udsm? huna hata aibu ukisema mwaka wa pili udsm. yafaa uishitaki hiyo shule wakurudishie hela zako manake hamna wanachokufunza
 
Mbona mnajudge umri kutokana na lugha iliyotumiwa? Kwan matumizi ya lugha tena written lang...hayaendani na umri kabsa
ok, a nice written language by a young udsm scholar. so nice indeed. congratulation good for nothing little brat.
 
Back
Top Bottom