Wewe ni KE au ME?dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.
Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.
Huyo wa kwenye avatar ndo weweπKumanina najuta aise kichwa kinaniuma hpa keshokutwa dogo anaenda shule na bi mkubwa ananiulizia
Bi mkubwa ata solve ila Imani na wewe ndio itapunguaKumanina najuta aise kichwa kinaniuma hpa keshokutwa dogo anaenda shule na bi mkubwa ananiulizia
πππ hukuwahi kusikia ule msemo, ukitaka ku revenge hakikisha unachimba makaburi mawili kwanzaNimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.
Hii forex imemfanya jirani yangu kitu mbaya sana yaani muda wote kama chizi ukimuuliza kuhusu forex na aanze kuonyesha flow ya pesadah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.
Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.
Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.
Chuo msela wang alikuwa anacheza nikaona ii kama kamari tu.Hii forex imemfanya jirani yangu kitu mbaya sana yaani muda wote kama chizi ukimuuliza kuhusu forex na aanze kuonyesha flow ya pesa
Halafu kuna wajinga wa forex wanatuponda sisi wa betting wakati sisi tunacheza vitu real yaani kama leo Girona 3- Athletico Madrid 2 halafu naweka mia yangu natulia tuli
Uza hiyo simu ,upate mtaji wa kucheza tenaPesa ya kucheza tena anaitoa wapii