Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,920
- 193,945
Nimeokoka...Weee ulidondosha lini????😁😁😁
Anyways kula maishaaaa 🍑Pesa ni yako hakuna wa kukupangia matumizi lo!
Nimeokoka...Weee ulidondosha lini????😁😁😁
Anyways kula maishaaaa 🍑Pesa ni yako hakuna wa kukupangia matumizi lo!
Since when who which??😊Nimeokoka...
Mbinguni mbona nimerudi juzi tu sweettheart...Since when who which??😊
Khakhakhaaa!!
Ukienda mbinguni waniite mbwakoko nimekaa paleeeee 😁😁😁
😁😁😁😁Mbinguni mbona nimerudi juzi tu sweettheart...
Sasa ndo akatimize. Mbona hamna shida hapo.Sasa kama shida yake ilikuwa 300k huoni lengo lilikuwa halijatimia?
Ndo inashangaza yaani thamani ya 300,000 imekuwa ndogo kwa kukosa tsh 6000 mpaka 10000 za makato? Sasa akatafute ya kutolea. Hii simtumii hata shillingiYeye anashindwa kuongezea hata 10 kufidia hayo makato !?
Mbona wewe hapa ndio bumunda?
Duh yani unatuma 300k kwa mwanamke Ambae si mke wako?
Du watu mna hela za kuchezea
Hata mi nimeshangaa sana,sijui kama hata anamtumia mamake chochoteYani hujamuoa unamtumia 300k watu mnamchezo.
Jitahidi uwe unahudhuria kikao unamtumiaje Malaya 300k,shukuru huyo jamaa ako anayehudhuria vikao kakusanua kuhusu ya kutolea.Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Si umtumie mama yako huko korogwe ambapo macho yamekuwa mekundu kwa kuathirika na moshi sababu ya kupikia jiko la kuniNipe namba yake nimtumie, laki tatu sio hela kumsimanga nayo mtoto mzuri kama huyo. Naisubiri pm namtumia na nauli ya kwenda kwa wakala.
Pesa yangu usinipangie matumizi, akinipa namba namtumia 500K ths sitaniiSi umtumie mama yako huko korogwe ambapo macho yamekuwa mekundu kwa kuathirika na moshi sababu ya kupikia jiko la kuni
Pesa yangu usinipangie matumizi, akinipa namba namtumia 500K ths sitanii
Mtumie mama yako korogwe huko anateseka.Pesa yangu usinipangie matumizi, akinipa namba namtumia 500K ths sitanii