Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
145
535
Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa.

Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha uchumi wa kati na wazazi wangu si matajiri kama watu wengine walivyo. Ila wananipenda nashukuru Mungu.

Huyu dada ni mtu mwenye mahitaji mengi sana. Nami kwa muda mrefu nimekuwa sitaki mpoteza. Naye anajua. So kila mara anapoomba pesa namtumia. Anapenda maisha mazuri nami najitahidi kumpatia nisionekane mwanaume suruali.

Aliomba nimsaidie kodi nikajichanga nikamlipia 1,400,000 kwa miezi 4. So tukawa huru kukamuana anapoishi muda wote. Maana siwezi mleta home ninaishi na mdogo wangu na sitaki aone bro wake ni mtu wa mademu tena home.

Since then mahitaji amekuwa nayo mengi. Mara kubadilisha simu, mara nimjazie mafuta kwenye usafiri wake, mara nimunulie hiki mara kile. Sababu nampenda sijaacha mhudumia muda wote.

Last week mama alinitumie msg kuwa hali kwake ni mbaya sana hamna kitu home na shughuli zake zimesimama ametapeliwa pesa na mtu mmoja ambaye walikuwa wanamtumia kwenye business. Nikamwambia sawa mama ngoja nikipata pesa nitakutumia. Akashukuru in advance na kuniambia ananiombea.

Nikajisahau kabisa. Ni kama nlikuwa nimerogwa kiakili. Huyu demu akaomba pesa ya saloon na lotion jumla tsh. 240,000 akasema nifanye tu 250,000 na ya kutolea. Nikamwambia kwa hiyo weekend sipo vizuri asubiri.

Akaninyamazia. Kesho yake Jumamosi nikamtafuta sana kwa simu akawa hapokei. Baadaye akapokea kivivu sana. Nikamuuliza why amekuwa hivyo akasema hana furaha anawaza Jumatatu ataendaje kazini na mtindo wa zamani wa nywele. Nikamwambia aje home. Akajibu jana hisia kabisa za kuja kugegedana nami.

Mimi nlikuwa na hamu naye sana. Nikabembeleza. Akajibu hana hisia akili yake haipo kabisa so nimwelewe tu hapendi kuwa forced. Nikamwambia sawa. Anajua mimi napenda sana kumgegeda. Na nikiwa na hamu ni shida. So akapata pa kunibania. Nikaona si issue. Nikamtafuta Janeth akasema nikamwone tu kama ninahitaji kuwa naye. I went and we screwed each other.

Jumapili akanipigia simu kuwa sasa inakuaje ombi lake. Hata salamu hakutoa. Anataka nimtumie pesa. Nikamwambia hamna shida azima 350,000 nitarudisha. Huwa anaazima kwa rafiki yake ana kibanda cha kulipa kwa hii mitandao. Akasema sawa. Akitengeneza nywele atakuja nimwone alivyo pendeza. Nikasema sawa.

Kweli jioni akaanza kunichokoza akituma picha ya papuchi yake kuwa nije mnyoa. Huwa namnyoa nina mashine flani nzuri haiumizi wala kutoa vipele. Akaja. Nikamkamua sana siku ile kwa hasira. Maana i was alone bwana mdogo alisafiri kwenda Arusha. Mpaka asubuhi. Tukajiandaa mi nikaenda job kwangu naye akaenda kwake pia.

Jana mama kanitumie msg walikosa chakula usiku. Wakanywa uji. Nilisoma msg nikatokwa na machozi. Mama yangu ni mwenye majivuno sana. Hawezi omba pesa tena mara mbili. Baba ndo kabisa. Nikajua hali ni mbaya. Nikahamisha salio nikamtumia 300,000. Mama alishukuru sana. Akawa anapiga na simu. Sikutaka pokea maana ningeumia sana. Nikamwambia nipo kwenye meeting.

Akatuma msg nyingi za kushukuru na kunibariki. Usiku lile jini langu likatuma msg kuwa nilitumie tsh 350,000.nimechelewa kurudisha. Nikanyamaza. Baadaye akatuma tena msg kuwa "msg yangu umeona au unajifanya hujaiona?"

Nikaona huyu sasa ameyakanyaga... Atataruka ruka na huo mguu aliokanyagia kama kachomwa na mwiba. Nikamwambia. Mimi sina hisia za kulipa hiyo pesa. Kama ambavyo naye sometimes hukosa hisia. Akaandika maneno makali. Nikamwambia. Sina pesa nimemtumia mama. Akasema " umefanya vizuri na ukiwa na nyege peleka huko huko ulikotuma pesa"

Nikanyamaza. Usiku kucha nimekaa namtafakari. Leo asubuhi katuma msg " namba ya kulipia pesa ni hiyo lipa kwa wakala"

Nime mblock na nimeamua kumblock maana huyu ni jini. Hana akili hata kidogo. Ni mtupu kabisa kichwani. Nimemshukuru Mungu sasa mfungo utakuwa mzuri. Ndo nimeachana naye kama hivyo.
 
Pole mzee maamuzi ya kiume
 
Achana na majini hayanaga huruma halafu yanajua kukamata akili na unakuwa unajua kabisa hili bomu ila kulitupa inakuwa shida. Uzuri ukishapata experience ya jini ukalitupa basi hakuna jini lingine litaweza kukusumbua.
 
Chai kwenye mfungo hatutaki.

20240129_230621.jpg

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Alikuona zoba Sana huyo ni mdangaji anauza Wala hakua Na mapenzi Na wewe
 
😁😁😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom