Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Kiukweli kama fisi mzoefu wa kula dads zetu kwa hela nimelia sana kwa uchungu yaani hiyo laki tatu kwani i huku mwambia aje kuchukua gheto tena ungekula ungempa 150000tsh .... kiukweli mimi kama fisi nimelia mno
 
Hata kama huyo mdada hampendi huyo mwanaume, huyo mdada atakua ana shida, sidhani kama huyo mdada ataolewa/atadumu kwenye ndoa, akiendelea na tabia alio nayo

Mtu anakupa tsh laki 3 ya bure, hata kama hujavutiwa nae, unashindwa kuwa hata na shukrani Mrs Van
Mdada kweli ni kauzu. Ila mwanamke asipokupenda na akajua unamuelewa, anakuona kama takataka. Na unakuta hapo huyo dada ana mtu wake hana hata 100 ila analeta mapozi kwa wenye hela
 
Anyway,labda mimi Sina Hela,300k yote hiyo!!?
 
Mdada kweli ni kauzu. Ila mwanamke asipokupenda na akajua unamuelewa, anakuona kama takataka. Na unakuta hapo huyo dada ana mtu wake hana hata 100 ila analeta mapozi kwa wenye hela
Sasa si uboya huo, kidume ambae hana hela anapendwa kuliko unaegharamia, ndo maana mara nyingi mdada nliemtongoza akiniomba hata elf 2, au hela ya breakfast, nakata mazoea nae, namfungia vioo kabisa, na wanajuaga kabisa huyu mwanaume kanichunia sababu namuomba omba hela ya breakfast, sema hawaniambiagi straight.. Mrs Van
 
Kweli watu mna hela, au niseme mna hela za mchezo, hazina kazi, au niseme hamna akili kabisa.

300k kwa mtu tu hamna kinachowaweka pamoja? Hivi Nyerere alisemaje kwenye ujinga na upumbavu?
 
Nyie ndo mnawendekeza...unakuwaje simp kwa wanawake wa sasa?hapo anakuchukulia kama danga lake tu na ndo maana wala hakulipa uzito baada ya kurudisha muamala bdo aliona yupo sahihi
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Wewe mwanaume Sasa. Hongera kwa kujitambua
 
🤣🤣🤣🤣

300k mtu anataka na yakutolea no wonder huyo alikuwa anakuona wewe bwege

Bora ulivyo Shtuka kmmk
Sasa kama shida yake ilikuwa 300k huoni lengo lilikuwa halijatimia?
 
The man who believes money can buy genuine love.
Money can buy attention, loyalty, and time but love? That’s a currency you can’t control.
 
Ingekuwa Kuna Uwezekano Wakumfanya Adaiwe basi
Ningededuct
Isome deni kwake
Kwamba Salio ni -300,000 ili Akome zaidi
9D2A52A9-0C26-46D8-A1A1-35382837AAA7.jpeg
 
Hii ni sawa na kuilalamikia remote kwamba haifanyi kazi wakati haujainunulia TV yake bado.
 
Back
Top Bottom