Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Kitu kimoja niling'amua wabawake huwa wanajiona ni wakamilifu hawakosei wala hataki kukosolewa. Arafa ya mwisho inaonyesha wewe ndio mkosaji
 
siyo malaya, ni side chick, malaya huwa ni "pre sex-on spot-payment"
Wapo malaya mkuu wanauza indirect na wa order kama hilo bumunda sio wote ni wa pre sex on spot payment, hawa malaya wana mitindo mingi ya namna ya kuuza na kuendesha hiyo game yao ilihali tu wanaume tuingie kwenye mitego zao..
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Duuh...! Kuna watu mna moyo wa chuma from no where unamtumia mwanamke 300 ,hata hamko crossed?. kwamba una hela za kutupa tu?
 
Niliwahi sema hapa haya vile tu hamuelewi.

Hiyo pesa ungemtumia mama yako au baba yako mkuu asingeomba na ya kutolea hapo ni Ahsante sana na ubarikiwe mwanangu nyingi mno ungepokea.

vijana sikutukipata akili basi tutapiga hatua kubwa.

Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Kweli inasikitisha sana
 
Hii nchi imejaa vijana mafala sana.Hizo hela mnazopata kirahisi kwanini msiziekeze UTT ili siku hiyo mirija ya kupata EASY MONEY inapokata mnaakiba ya kuwafaa uzeeni.

Jitu kama hili ilikifika uzeeni unakuta linagongea hadi kashata na kahawa kijiweni.Pumbavu!!!!

#Mtaala ufutwe huko mashuleni na wanafunzi wafundishwe FINANCIAL EDUCATION!!!!
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Safi
 
Back
Top Bottom