Naomba umtumie Mama yako elfu Kumi nambili na mia Tano tu.Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Safi sana nyuzi kama hizi naomba usiwe unaacha kunitag kakaHuu uzi bila comment ya melancholic ni batili Melancholic
Hata mimi nadhani hivyo naona mawazo yetu yapo sawa sawa😁😁HIi inaweza kuwa chai jamaa kajichatisha mwenyewe ili kupata content, so relax mkuu..wenye hela hata hawana kelele kama hizi
Huyu jamaa atakuwa kajichatisha bwana maisha haya hakuna dem wa kuchomoa kwenye laki 3Au kajiandikia na kujijibu mwenyewe huyu wala sio wa kumuamini nae bana 😂😂😂 mwanamke maisha haya utumiwe laki tatu hujaifanyia kazi uombe na ya kutolea weee
Huu mlinganisho sio kwamba hauendani unaendana masta, tunaanzia kwenye kumpa mtu alafu tunaangalia reaction yake, ndio maana jamaa akasema ungempa mamako uone atakavyoshukuru na yeye ndio anakuhusu moja kwa moja na hakupaswa kushukuru sana sababu si mamako bwana whether you like it or not kuna simu utawajibika tu awake kama yeye alivyokuwa anakufanyia wewe ukiwa mdogo, sasa basi huyu Malaya alitakiwa awe na shukran Tele teleee sababu yeye umekutana nae ukubwani tu, sio mke wako sio nani anasemaje kwamba hijamtumia ya kutolea? ina maana yeye ana shs zero kabisaaaa, sa mkuu mtu kama huyo wa nini...jamaa kafanya busara sana kurudisha hela yake waanze mwanzooMkuu kwenye haya maisha Kila mtu ana nafasi yake ndio maana tupo wengi, ndio maana huwezi ishi ma nduguzo miaka yote, huwezi ona au kutiana na dada zako so, tunacheki kufanya mlinganisho wa vitu visivyoendana.
😂😂😂Eeh ana moyo ningetoa kwanza ndo nianze kulalamikaYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Naomba umtumie Mama yako elfu Kumi nambili na mia Tano tu.
Alafu utuletee mrejesho wake.
Ha ha ha.... Ingekuwa heri tu kwangu. Shida unajua haziishi?😂😂😂Eeh ana moyo ningetoa kwanza ndo nianze kulalamika
Si hana Sasa. 😂Yeye anashindwa kuongezea hata 10 kufidia hayo makato !?
Kashalogwa huyu atamkumbukia wapi mama yake mzazi,hapo kaublock muamala halafu baadae atatuma laki sita kabisaHata mi nimeshangaa sana,sijui kama hata anamtumia mamake chochote
Naiona Tanzania ya viwanda vya nyamaYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Uamuzi mzuri
Km anamaitaji ya 300,000 afu hana 10,000 ya kutolea uyo ni jinga kbsa, hongera kwa kukimbia mapema hapo akuna mwanamke na sizan km ana akili timamu uyo
Sasa ndio nini mambo madogo unataka yakuza.Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
😂😂nI kweli shida haziishiHa ha ha.... Ingekuwa heri tu kwangu. Shida unajua haziishi?