Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Tofautisha a woman as a part of nature na nafasi yake na Malaya, whore ambae nina hakika hata OP alimaanisha hivyo pale alipoita "bumunda" Sasa wewe umeona wapi Malaya akawa na thamani mkuu, unalelewa neno Malaya?
Huyo ni simp na ndio maana unaona vitu anavyoongea hata havimake sense ukivifikiria kiume. Hao ndio wanaume wanaowafanya wanawake kuwa wajinga na kufanya mambo ya hovyo wakiamini wanaume wanapendezwa nayo na wanawasapoti.

Huyo ni Simp. Wapigwe vita hawa Takataka ndio wanaotuharibia culture ya kiume wanatufanya tuonekane wanaume ni dhaifu na wa hovyo kwa wanawake.
 
Mkuu kwenye haya maisha Kila mtu ana nafasi yake ndio maana tupo wengi, ndio maana huwezi ishi ma nduguzo miaka yote, huwezi ona au kutiana na dada zako so, tunacheki kufanya mlinganisho wa vitu visivyoendana.
 
Attachments

  • images (1).png
    images (1).png
    3.9 KB · Views: 24
  • images (2).png
    images (2).png
    3.9 KB · Views: 32
  • dffm1ub-067b3ce3-b405-462d-9baf-4e885007db10.png
    dffm1ub-067b3ce3-b405-462d-9baf-4e885007db10.png
    96 KB · Views: 29
Wanawake automatically ni tegemezi ila wanajifanya wanataka 50/50...Mtu analipwa mshahara ila bado anatolea macho wa mwenzie ,atunze na apewe kila kitu ...Kiasili mwanamke ni wa kuhudumiwa hata awe tajiri namba moja ,akiwa na mume apewe chochote ,so kufanya kazi na kutafuta pesa akiwa na mwanaume ni useless.
 
Malaya hawana shukrani mkuu, umeona the way alivyoreact ulivyomtumia hiyo pesa bila ya kutolea? Imagine ungemtumia bi mkubwa, mzee au nduguzo wa karibu nyumbani namna wangeshukuru na kukuombea blessings? Now you got me? Once a whore always a whore, 'em motherfuckers belong to street.
Dada zetu siku hizi ni janga sana
 
Huyo ni simp na ndio maana unaona vitu anavyoongea hata havimake sense ukivifikiria kiume. Hao ndio wanaume wanaowafanya wanawake kuwa wajinga na kufanya mambo ya hovyo wakiamini wanaume wanapendezwa nayo na wanawasapoti.

Huyo ni Simp. Wapigwe vita hawa Takataka ndio wanaotuharibia culture ya kiume wanatufanya tuonekane wanaume ni dhaifu na wa hovyo kwa wanawake.
I second you mate.
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Nipe namba yake nimtumie, laki tatu sio hela kumsimanga nayo mtoto mzuri kama huyo. Naisubiri pm namtumia na nauli ya kwenda kwa wakala.
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Unatuma mshahara wangu kweli? Dah nimeumia sana.
 
Back
Top Bottom