Bro Evelyn Salt umewahi kuhonga kitita kikubwa kama hiki (300k)? au madogo wanakuelewa wanatoa bure....
Unajua sometimes mtu anaweza sema ngoja tushare hiki nilicho nacho kumbe una share na wrong person.😂😂nI kweli shida haziishi
Ht hivyo ashukuru Mungu usawa huu unatumiwa laki 3 famchezo nn😂
Napiga bure mkuuBro Evelyn Salt umewahi kuhonga kitita kikubwa kama hiki (300k)? au madogo wanakuelewa wanatoa bure....
Sawa mkuu acha sie wa buku ten tushangae maisha hayalinganiMasking utawaumiza sana. Ukishakuwa na hela hivyo ni vitu vidogo sana.
Mafala kwenye hii nchi hawaishiDuh yani unatuma 300k kwa mwanamke Ambae si mke wako?
Mkuu usiombe huyo demu awe mkeo wa ndoa ndio hasira zitazidi mara kumi, hasa ukiwa bado ndio unajitafuta, yashanikuta hayo kwa make wangu wa ndoa😭😭😭😭Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Ni kweliUnajua sometimes mtu anaweza sema ngoja tushare hiki nilicho nacho kumbe una share na wrong person.
Nimecheka kiboya sana aisee sijui huwa mnawaza nini aisee...
Ushauri wa chuma cha mjerumani huu..Mbona sijaona block 🚫 ungemlima block na Talaka hata kama hujamuoa.
Ilikuaje.....Mkuu usiombe huyo demu awe mkeo wa ndoa ndio hasira zitazidi mara kumi, hasa ukiwa bado ndio unajitafuta, yashanikuta hayo kwa make wangu wa ndoa😭😭😭😭
kwa mbinu hii nishawaacha weng mno nikidhan waifu material, ukimpa kidogo au kumpanga anajua huna hela anapunguza atention nawew, anasepa.Kuna watu wanalala njaa alf
Mtu wa namna hiyo hata kushukuru hamna
View attachment 3427208
Ningelitumia 1K nilipime kwanza
Kabla hujamtumia mtu hela kubwa anza na ndogo alf mpime ni mtu wa aina Gani
saana mkuu, cjui madada zetu bado washamba wa zawadi!Kuna hii issue ya kuuliza umenunua bei gani! naichukiaaaa!!!!!
Aisee Hii mitizamo wanayo wanawake wengi sanakwa mbinu hii nishawaacha weng mno nikidhan waifu material, ukimpa kidogo au kumpanga anajua huna hela anapunguza atention nawew, anasepa.
Alaah! Nani kasema mim ndo mtatua matatzo ya wadada wenye viburi wasiotaka kuoleka wamepanga mageto?
Wakati kuna ndugu zangu wanahitaj msaada wangu
Huu ndiyo uanaume sasa, safi....Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642