Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

UME ACT KIUME ...MWAMBA NDO WEWE HAPA MAN! UMETISHA KAZA USILEGEZE MSIMAMO, NDO DAWA YAO KAMA TULIVYOKUBALIANA KWENYE KAMATI YA ROHO MBAYA KIKAO CHA WANAUME
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Nifundishe na mimi jinsi ya kurudisha mwamala
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Roho kama hizi tunazo sisi tuliozaliwa ukanda wa GAZA..

KWA MBALI SANAAAAAA SISI WATU TULIOZALIWA MIDDLE EAST ➡️

WANAUME KAMA WEWE WAMEBAKIA WACHACHE SANAAAAAA NI MUDA SASA UPEWE UENYEKITI WA WANAUME BAHILI TANZANIA (UWABATA)

Unaweza kuongeza maarifa pitia hizi thread,

JamiiForums
Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA) | Page 4
 
Mvuvi mkatili, samaki kala chambo umemtapisha chambo ukamuacha aendelee na safari kwenye maji
 
Sijui kizazi hiki kina shida gani. Zawadi anahoji bei? Na kukusema kuwa umepigwa. Next time unaichukua zawadi unamwambia unaenda rudisha ununue nyingine. Kisha unampa hata maskini mmoja njiani.
na ndo kilichobaki
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Safi sana kwenye Kikao ulikaa mbele kabisa
 
Back
Top Bottom