Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

laki3 tu mpaka unafungua uzi, angeomba gari si ungekimbilia Takukuru!! kijana jifunze kuwa mwanaume. Kuhusu nguvu zangu kiume hilo wewe mwanaume halikuhusu muhimu nipe namba zake nimsaidie

Kakijana kanaishi kwa dada yake kamechooka mbavu zinahesabika kanataka kujitutumua. Mwandiko wako tu unaonesha.
 
Binafis spendag dem asie na shukran...

Umebeba zawadi kumplekea, hata ahsante huioni ila ataanza kuulizia umenunua shi ngap na kukuchamba kuwa umepunjwa bei.

Hapo nakupa 5 mkuu, wasio na shukran ni wakupga matukio

Sijui kizazi hiki kina shida gani. Zawadi anahoji bei? Na kukusema kuwa umepigwa. Next time unaichukua zawadi unamwambia unaenda rudisha ununue nyingine. Kisha unampa hata maskini mmoja njiani.
 
Yaan laki tatu anataka na ya kutolea uchumi huu ulivyo unachumu 😂😂😂 watu wana viburi kwenye hela umefanya vizuri kuirudisha aisee

Ndo ushangae sasa. Yaani hata kusema sante hajasema. Ameona tu sijatuma na ya kutolea. Sasa anapiga simu kweli kweli
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Mungu hampi mtu kila kitu
 
Umefanya vizuri sana kurudisha muamala, hata ningekuwa mimi ningerudisha hivyohivyo
 
Watu mna hela za mchezo. Unajipendekeza kwa mtu, unahonga 300k halafu bado hupendwi
Hata kama huyo mdada hampendi huyo mwanaume, huyo mdada atakua ana shida, sidhani kama huyo mdada ataolewa/atadumu kwenye ndoa, akiendelea na tabia alio nayo

Mtu anakupa tsh laki 3 ya bure, hata kama hujavutiwa nae, unashindwa kuwa hata na shukrani Mrs Van
 
Yaan laki tatu anataka na ya kutolea uchumi huu ulivyo unachumu 😂😂😂 watu wana viburi kwenye hela umefanya vizuri kuirudisha aisee
Wengine wasema story ya mtoa mada ni chai, ila hata kama ni chai, story yake Ina reflect uhalisia, aina ya wadada alioelezea wamejaa tele mtaani, kuna wadada ni vimeo hatari.. Dejane
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Sasa wewe ulikosea,bumunda unalitafuna kwa chai na ndondo.
 
Back
Top Bottom