Nimelazwa Kcmc

Nimelazwa Kcmc

images
just close ur eyes & feel the bluish white rays of healing coming from god & pretend that u r b'come better & better every moment,get well soon dear angel m.
asante sana na mungu akubariki.
 
Nitaongea na Amy, wanawake huwa hatufanyi hivyo! Alafu na we ebu nenda nyumbani, ili mkajumuike wote!! Wewe ndo uwe unasaidiana na mkeo, Kaizer ye za kwake stori tu tena uongee nae wewe mwanaume mwenzake Amy usimuachie saana......wataishia kukonyezana kwa herufi kubwa hao!!! L.O.L

hahahah message delivered mwaya!
 
Hahahaaaa sawa.....Vipi maendeleo kwa sasa maana tumeshasahau km unaumwa tena coz mgonjwa mwenyewe anaongea utadhani mzima......hata hudeki????? Lol
hahahaa nikisoma post zenu napona bila dawa, MUNGU AWABARIKI SANA
 
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......

pole sana GET WELL SOON Mkuu AMsoffe..
 
@Angel mamitto, hivi ushakula kweli chipenzi.....au hawa wameshakichakachua hadi chakula cha mgonjwa?? Ebu nipe feedback dear!
 
Back
Top Bottom