Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Sie wazima kbs B52,
Sema tu hii hali sijaizoea ni ngeni kwangu inanizingua kidogo,
Ndio maana saa ingine hamnion hapa!

Mzima ww lkn?Amy hajambo pia?




Canta, kumbe 'tayari'?

Nimekumisije, kumbe honeymoon imzaa matunda..
hebu sema neno moja...
 
Pole Uncle, leo hata mimi sikua sawa... I am glad you came!
hivi umeambiwa na nani kua niko hapa? Ni Husninyo? Au Anti?
Karibu chai Uncle. May I join you?

tea_and_cake.jpg


Please come Mwali......have missed you so much....
 
Canta, kumbe 'tayari'?

Nimekumisije, kumbe honeymoon imzaa matunda..
hebu sema neno moja...
Missing u too My Big shem,
Nashukuru mungu ndoa ishajibu,
Ni jinsi gani Papa Rejao kadhihirisha umwanaume wake,
N kubwa zaidi ni the way anavonicare,yani mwambie Sisy wangu asiwe na hofu shemeji yake anihandle vizuri sana km alivoahiadi!

Msalimie sana Dada yangu Ashadii,mwambie nimemiss sana!
 
Asante shemu wangu,ndio ivo tuombeane tu,

Msalimie sana Amy,mwambie nammiss sana lol!

Sawa shem ila sisi bado kidogo siunajua hata honeymoon bado...mwambie Rejao atufanyie mpango tuhalalishe faster...
 
Sawa shem ila sisi bado kidogo siunajua hata honeymoon bado...mwambie Rejao atufanyie mpango tuhalalishe faster...
Usijali shemu wangu,
Ujumbe umefika hope atakutafuta mliongelee vizuri,
Haya mambo yana raha yake atiii!
 
wana jf, salam!

Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. Mwanafunzi au young professional,bachelor.

Mi mwenyewe ni mwanafunzi, naishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala bangi, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba

nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
kama uko interested niambie hapa hapa, wana jf wanisaidie kuchagua

kesho jioni, saa moja kamili kutakua na party kwenye hiyo nyumba
wana jf wote mmealikwa, hasa valide candidates. Njooni na vinywaji
hapo hapo ndipo mta-visit nyumba, na ikiwezekana tunamchagua the roommate.


mwali

ps: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!

mali najua wengi wame post but, i consider you very much, nimejaribu kuku pm but naona karma cm yang inatatizo but if you consider me too...ni pm mama...every thing can be alright!
 
mali najua wengi wame post but, i consider you very much, nimejaribu kuku pm but naona karma cm yang inatatizo but if you consider me too...ni pm mama...every thing can be alright!
Bakulutu, ulikua wapi over the weekend? Roommate kapatikana, ni Ambitious
Na nimesha mkabidhi funguo tayari. poleeee
Na ka kiasi aliko lipa nimetumia kua premium member mwenzio!
 
Bakulutu, ulikua wapi over the weekend? Roommate kapatikana, ni Ambitious
Na nimesha mkabidhi funguo tayari. poleeee
Na ka kiasi aliko lipa nimetumia kua premium member mwenzio!

Daah!!
Haya Mwali, nimekubali kwani kisicho rizik kwel hakiliki...Enjoy your PREMIUM CHANCE!!
 
Bakulutu, ulikua wapi over the weekend? Roommate kapatikana, ni Ambitious
Na nimesha mkabidhi funguo tayari. poleeee
Na ka kiasi aliko lipa nimetumia kua premium member mwenzio!

Hahahahah......hapo red pamenifurahisha saana!! Hongera A mbitious...
 
Aiseee, Me nakushauri usiende zaidi ya uwezo wako, Kukaa na mtu usiyemjua tabia ni matatizo, na nivigumu kumfahamu mtu tabia kwa muda mfupi,,,nenda Uwezo unaporuhusu Usije ukajutia..
 
Bakulutu, ulikua wapi over the weekend? Roommate kapatikana, ni Ambitious
Na nimesha mkabidhi funguo tayari. poleeee
Na ka kiasi aliko lipa nimetumia kua premium member mwenzio!

Pongezi zangu za dhati kwako Mwali kwa kuwa Premium Member kusema kweli unastahili na juhudi zako zimefanikishia malengo yako.

Am happy to have you as my roomate and i guess am somekind of a lucky charm,look at what you achieved within a just a day!!!

Go..go..go..go Team Mwali+Ambitious.
 
Back
Top Bottom