Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
- Thread starter
- #181
asante sana husninyoPole sana mpendwa. Tunakuombea upone.
asante sana husninyoPole sana mpendwa. Tunakuombea upone.
asante sana ndugu mzalendo, my sister flora yupo anaendelea vyema na mungu akipenda atajifungua muda wowote, tumwombee ajifungue salama
umenifanya nicheke, nilivyolazwa juzi nilikua very serious wala nilikua sijitambui ila namshukuru mwenyez mungu na madaktari kwani sasa naendelea vizuri, nitamshauri flora msoffe amwite mwanae paw
hivi wewe na flora mmechangia baba au babu?
Msalimie sana. Au kama vipi mwambukize hako kamimba.
haha wkt tlikuwa wote kcmc.nshajifungua katoto kakischana
vp unaendeleaje? Umelazwa bado? Hongereni kwa flora kupata mtoto......
hujajibu swali
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
ni mdg wangu! Happy now.