Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Sawa utashangaa surprise tunakuja wote.....
Ngoja anamalizia kitu fulani then namwambia....
Nimeipenda hii Erick, itanibariki saana!
Sawa utashangaa surprise tunakuja wote.....
Ngoja anamalizia kitu fulani then namwambia....
Nashukuru kwa kunielewa Amy, usimnyase nyase mwenzio!!
asante sana na karibu sanaPole sana wangu, nipo mo town hapa ntakuja kukuona. ugua pole.
Hujawahi kunikosea lolote my dear....Kipipi siunajua anapenda tuwe na furaha muda wote....Jamani mbona sijamnyanyasa.. Ngoja nimuulize.. Maana hajawahi kuniambia chochote. Au kakwambia wewe dia?
Jamani mbona sijamnyanyasa.. Ngoja nimuulize.. Maana hajawahi kuniambia chochote. Au kakwambia wewe dia?
asante sana na Mungu akubarikiPole sana. Mungu akujalie upate nafuu haraka. Tu PM tuje tukujulie khali!
asante sana, mi naumwa nimelazwa ila flora Msoffe ndo anasubiria kujifunguaSwirry ulianga unaenda Moshi kujifungua..nini tena kinakusumbua ... Mungu akupe uponyaji mpendwa