Nimelazwa Kcmc

Nimelazwa Kcmc

Ugua pole dada mpendwa,Mungu atakusaidia and real nakuombea kwa kweli uje huku kwenye mapambano
 
Pole sasa mdau...... inaelekea si serious sana ndo maana umeweza kurusha uzi. Uko wodi gani nikuje hapo kukuchum?

Halafu, umelazwa na laputopu yako au unatumia simu ya mchina?

Kama ni ujauzito, Mungu akujalie ujifungue salama. Kakizaliwa kadume kaite PAW kakiwa kademu kaite AshaDii.

Sawa eh?:crazy:

Akiwa kidume amuite "kimbweka"
 
Mmmh mmmh.. lakini wanawake tuna tricks. Mi sikuachi peke yako na kipipi..

Bby umeina hailipi eeeh....
Ni km unavyotaka kwenda hospital na Kaizer...
Lol hata sikuachi nae tutaenda wote
 
Kipipi hilo hata mimi linanishangaza....nisaidie

Nitaongea na Amy, wanawake huwa hatufanyi hivyo! Alafu na we ebu nenda nyumbani, ili mkajumuike wote!! Wewe ndo uwe unasaidiana na mkeo, Kaizer ye za kwake stori tu tena uongee nae wewe mwanaume mwenzake Amy usimuachie saana......wataishia kukonyezana kwa herufi kubwa hao!!! L.O.L
 
Kaizer... wewe ni mume wa mtu na Amy ni mke wa mtu!! Nawakumbusha tu kuwa Erick hana roho ya chuma wapendwa, mnamuumiza mwenzenu!!!
Yan hapa natamani nirudi hm nikakae na Amy tupike wote...halafu mbona Kaizer hawi mwaminifu??
Macho juujuu km bagah...
 
Nitaongea na Amy, wanawake huwa hatufanyi hivyo! Alafu na we ebu nenda nyumbani, ili mkajumuike wote!! Wewe ndo uwe unasaidiana na mkeo, Kaizer ye za kwake stori tu tena uongee nae wewe mwanaume mwenzake Amy usimuachie saana......wataishia kukonyezana kwa herufi kubwa hao!!! L.O.L
Ndio naenda maana nahisi kupasuka kwa wivu....
Amy take care bby
 
Mmmh mmmh.. lakini wanawake tuna tricks. Mi sikuachi peke yako na kipipi..

Hata mie sitokubali kuachwa na mume wa mtu coz najua hutokosa kunigea kesi....though I never steal husbands!! Just relax dearest....
 
Hana shida coz ananiamini sanaaaa
Nami namuaminiiii

hahahah.....definition ya mume naijua vizuri sana! We utabaki na mkeo tu, mi nitakuletea matunda! Alafu mi nahisi ukiuguzwa na mwandani wako ndo utapona haraka zaidi.....maana kuna raha yake ati!!
 
hahahah.....definition ya mume naijua vizuri sana! We utabaki na mkeo tu, mi nitakuletea matunda! Alafu mi nahisi ukiuguzwa na mwandani wako ndo utapona haraka zaidi.....maana kuna raha yake ati!!
Hahahaaaa hata hivyo keshatoa warning tayari kuwa ataniuguza mwenyewe lol
 
Hata mie sitokubali kuachwa na mume wa mtu coz najua hutokosa kunigea kesi....though I never steal husbands!! Just relax dearest....
Teh inabidi tuwe na upendo wa agape....
 
Hahahahaaaa inawezekana...ila labda umelazwa kwa kukosa nguvu kisa umekosa chakula so ukikipata ndio hapatoshi... Hahahaaaa hadi manesi watashangaa... Ukimaliza kula tu unapona... Teh
teh teh teh mi siishi somalia bwana huku niliko mkungu wa ndizi buku jero
 
teh teh teh mi siishi somalia bwana huku niliko mkungu wa ndizi buku jero
Hahahaaaa sawa.....Vipi maendeleo kwa sasa maana tumeshasahau km unaumwa tena coz mgonjwa mwenyewe anaongea utadhani mzima......hata hudeki????? Lol
 
Back
Top Bottom