Nimelazwa Kcmc

Halafu bby mbona Kaizer km simuelewi elewi....halafu ana haraka...
Mwambie atulize munkari kidogo umalizie utamwita....sawa bby eeh

hahahaha...B52 bana unataka kwenda hospitali na siye? maana zamu yako ilikuwa asubuhi...ila kurudia inaruhusiwa ilimradi mgonjwa apate faraja
 
Kidogo tu jamani ili ale...
Ila amenambia yeye yuko fit sana kwenye kula na anapoumwaga appetite ya kula huwa juu sana hadi anajishangaa

Hata ingekuwa kidogo tu, sio vizuri jamani!! Alafu mmemtisha mwenzenu ndo maana ameamua tu aseme ana appetite!!!
 
hahahaha...B52 bana unataka kwenda hospitali na siye? maana zamu yako ilikuwa asubuhi...ila kurudia inaruhusiwa ilimradi mgonjwa apate faraja
Nahisi km tutaambatana vile lol
Ila we sina shida nawewe.....mtaenda wenyewe tu
 
images

Just close ur eyes &
feel the bluish white rays of healing coming from god
&
pretend that u r b'come better & better
every moment,get well soon dear Angel m.
 
Sina haraka Amyner...si ntakuwa nawatch series kidogo wakati nasubiria kuonja au unaonaje.....usije ukaniambia utapenda nikusaidie jikoni....

Aah ya jikoni ntamalizia mwenyewe.. Usije kuungua bure nikaletewa kesi mie.

@Ricky.. Dont worry at all dear, Kaizer ntamwacha sitting room akiangalia series.. I'll be in the kitchen!
 
Teh teh Kipipi una huruma eeh

Sawa ngoja tuone km kasema kwa shinikizo....

Si wewe hapo ndo unamtisha mgonjwa, unadhani kuumwa mchezo eeh? Mie mwenzako sipendi kumuona mtu akiwa hana raha, we mwenyewe ukiugua Erick huwa unajisikiaje mpendwa?? Alafu mtu aje kukufinya kweli!!!
 
Hahahahaaaa nikiumwa ntakuita uje umsaidie Amy kuniuguza....hope ntapona faster
 
Angel, sikua katika muda mzuri wa kuandika due Mishemishe,
lakini kwa UZITO wa issue yako nimekatiza ya niliyonayo nimekaa chini kuandika kukupa POLE MUNGU AKUONDOLEE HILO NA JINGINE .
 
Back
Top Bottom