Nimelazwa Kcmc

weekend poa Amy...ya kwako vipi? twende kumwona mgonjwa mchana? uandae mtori, manake naona dogo E52 yeye anapeleka matunda. Kuna sijui nani amesema atapeleka ma apple.

Tena kabisa unipitie, hapa namaliza kunywa chai halafu nimuandalie Angel mtori.. Wa kuonja utakuwepo.
 
Teh ila wewe hukawii kumpelekea mbege mgonjwa...itabidi nimwambie Amy awe makini na maandalizi yako...
Mwambie na Bagah asisahau kumpelekea mgonjwa bagah maana anazipenda sana....

Apo mbege inaweza kuhusu magonjwa mengine ni ya kisaikolojia, akigonga kidogo unashangaa huyoo kapona

Hizo baga za BAGAH sio za mchina kweli asije akaendesha?
 
Apo mbege inaweza kuhusu magonjwa mengine ni ya kisaikolojia, akigonga kidogo unashangaa huyoo kapona

Hizo baga za BAGAH sio za mchina kweli asije akaendesha?

Hahahahaaaaa nawewe huziamini eeh
Tatizo dogo chenga nyingi....leo anaenda kimanzichana..mwambie aje na maembe ya kutosha
 
weekend poa Amy...ya kwako vipi? twende kumwona mgonjwa mchana? uandae mtori, manake naona dogo E52 yeye anapeleka matunda. Kuna sijui nani amesema atapeleka ma apple.

Huko nyumbani kwema lakini? Naomba umpelekee mgonjwa maapple kwa niaba yangu tafadhali, si unajua mie nipo sitimbi huko siwezi kufika!!
 
Back
Top Bottom