vanni
Member
- Dec 30, 2015
- 26
- 12
Kwani ww utaishi milele?Unaeza kufa wewe kwanza hiyo RIP ikakuhusu
siwezi kufanya hivo mkuu,wewe elewa kuwa majibu yanaonyesha kuwa mimi nipo salama kabisa,sikulazimishi uamini,ila ukweli ndio huo,this shit is real mkuu!Picha Mkuu ya Majibu .....na muhuri wa Hospital uonekane ........Nawasilisha
Fursa2017
Mkuu inabidi uongeze bidii kuhudhuria Vyumba vya ibada ndg ..... ...siwezi kufanya hivo mkuu,wewe elewa kuwa majibu yanaonyesha kuwa mimi nipo salama kabisa,sikulazimishi uamini,ila ukweli ndio huo,this shit is real mkuu!
nahisi uelewa wako una shida kidogo,soma vizuri post za nyuma kabla ya kuja na pumba hizi,samahani lkn kwa kukujibu vibaya..Yaani umeishi na mwanamke miaka mitatu, huyo mwanamke alizaliwa na HIV , ameshika mimba hadi kujifungua but hukuwa unajua kuwa ni muathirika! Inamaana wakati anaanza clinic hamkuwa wote maana pale kupima ni must whrather you like it or not.
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
Nenda kapime kwanza na hospitali tatu za uhakika zinatosha na pia lazima ujue uwezekano wa wewe kutokuwa na virus ni 0.09%..Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
Unapata nguvu ya kuleta upumbafu wako baada ya kuwa umekutwa huna!!? Siku nyingine kabla ya kurespond uwe unafikiria kuwa sio kila mtu atakuja na kile ambacho wewe unakitaka...nahisi uelewa wako una shida kidogo,soma vizuri post za nyuma kabla ya kuja na pumba hizi,samahani lkn kwa kukujibu vibaya..
mkuu majibu tayari nilishayapata kuwa mimi nipo salama,coz nilipima jana,pia mimi sio mjinga na wala siskukurupuka kwa lolote,ni mtu ninayejielewTulia kwanza kaa ata mwezi akili ikitulia ndo ukapime acha ujinga wa kukurupuka ukimwi upo tu ata asingekua uyo unaweza kupata ata kwa njia nyingine, kuwa mpole usifikiri unao peke yako wala usimuhukumu uyo mchumba wako coz ulipowekwa mtego wa ukimwi ata wanaoitwa mababa na mama wa dunia wanakosea unafikiri ungeenezwa na mbu nani angeupatA???
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nishapimwa na majibu niliyapata nipo salama,pia sio mjenga tena,i was,but not now again,kuendelea kutokupima kwa hali niliyokuwa nayo bado nishingeishi kwa amani tena,Tulia kwanza kaa ata mwezi akili ikitulia ndo ukapime acha ujinga wa kukurupuka ukimwi upo tu ata asingekua uyo unaweza kupata ata kwa njia nyingine, kuwa mpole usifikiri unao peke yako wala usimuhukumu uyo mchumba wako coz ulipowekwa mtego wa ukimwi ata wanaoitwa mababa na mama wa dunia wanakosea unafikiri ungeenezwa na mbu nani angeupatA???
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe vipi umepima lkn mkuu?Unapata nguvu ya kuleta upumbafu wako baada ya kuwa umekutwa huna!!? Siku nyingine kabla ya kurespond uwe unafikiria kuwa sio kila mtu atakuja na kile ambacho wewe unakitaka...
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
Mkuu kwa findings zako hizo za kupima ni kwamba.mkuu majibu tayari nilishayapata kuwa mimi nipo salama,coz nilipima jana,pia mimi sio mjinga na wala siskukurupuka kwa lolote,ni mtu ninayejielew
mkuu nishapimwa na majibu niliyapata nipo salama,pia sio mjenga tena,i was,but not now again,kuendelea kutokupima kwa hali niliyokuwa nayo bado nishingeishi kwa amani tena,
wewe vipi umepima lkn mkuu?
Ficha ujinga wako! wenzio tumeshatoka kwenye kifungo hicho cha ujinga, wewe umekaririshwa na "old school tie" bado unaendeleza ujinga wakoNdivyo ulivyodanganywa eeh! Haya sawa. Ukikutana na mwenye HIV jamiiana naye, kapime uthibitishe kuwa ni Positive, halafu usitumie hizo ARV. Nakupa miaka 3.
Msidanganywe na wauza 'dawa mbadala' jamani, au hawa sijui 'sanitarium' bullshit! Ukipimwa HIV ukakutwa nayo, tumia ARV's zitakusaidia kusongesha maisha na kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine, hii imetafitiwa kisayansi na ni uhakika. Hadithi nyingine tofauti na hizo peleka kwa Babu wa Loliondo.
Mkuu ilikuwaje?Mwaka 2010 nilijua ndio mwisho wa maisha yangu lakini bado nipo ngangari, usikate tamaa kwa vyovyote itakavyokuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuNaandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni