Nimekwisha na UKIMWI

Nimekwisha na UKIMWI

Naona hii post ni ya mwaka jana, tunaomba mrejesho sasa baada ya kupima.

Pia huyo mkeo mpaka kujifungua hamkwenda clinic mkapata vipimo wote?

Tulizeni akili wakati wa utunzi wa hadithi.
 
Kunywa safar aLfu ndo uemde kunywa 6 changanya na konyagi
 
Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.

Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.

Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?

Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.

Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.

Ahsanteni
Pole sana kwa hali hiyo ila nakuuliza je alikuwa ana tumia dawa? Maana kama kazaliwa nao basi ina maana alikua kwenye dawa na kama alikua makini na dawa unaweza ukasalimika usiwe na maambukizi naomba jipe moyo nenda kapime ujue mapema na usiwaze sana juu ya hilo kwa maana tayari limeshatokea huna budi kupambana nalo
 
uwe unasoma kote then ndio uje na ushauri nasaha mkuu,majibu yalishatoka sina kitu mkuu..
 
Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.

Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.

Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?

Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.

Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.

Ahsanteni
mkuu maisha hayawezi kusimama sababu ya ukimwi, piga moyo konde maisha bado yataendelea hata kama ukiwa nao, songa mbele hata usiwe na wasiwasi, watu wengi wanaishi nao lakini wameamua kuendelea na maisha yao, kuwa na amani mkuu
 
Ebu mumu ukuje upande wa huku, kuna mtu anahitaji ushauri wa fasaha
hahahahah sitaki kuamini suala la mumu linawauma kiasi hiki,naona nyuzi zinafufuliwa tu,dah!
sijui mlikuwa wapi kujiripua tangu mwanzo,nimetangaza nia naona fitina zimekuwa za kuzidi,mapenzi ya bongo nayo kama siasa tu,ukitaka hata udiwani utasikia aliishia la saba,mara ana mtoto nje ya ndoa,ndio haya sasa yananitokea puani...ila mtashindwa tu!
 
uwe unasoma kote then ndio uje na ushauri nasaha mkuu,majibu yalishatoka sina kitu mkuu..
Sasa una panic nini kaka mi nimesoma post haikua na haja ya kwenda chini ungetoa post nzima then unabishana na mie ndio nipo kwenye kitengo hiko ungeelewa post yangu nilitegemea ungenihoji kwanini nimesema kama anatumia dawa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa mzima isiwe shida bwana kama hukupenda post yangu ungepiga kimya tuu ijulikane hivo
 
hataree...vipi JJ umemuacha?
mkuu naona ukamtag kabisa mama ili utufitinishe,nyota yangu kali hauwezi kunizuia kufanya lolote nilitakalo,yule ni shemeji yako tu na domo lako zege,lione!
 
hahahahah sitaki kuamini suala la mumu linawauma kiasi hiki,naona nyuzi zinafufuliwa tu,dah!
sijui mlikuwa wapi kujiripua tangu mwanzo,nimetangaza nia naona fitina zimekuwa za kuzidi,mapenzi ya bongo nayo kama siasa tu,ukitaka hata udiwani utasikia aliishia la saba,mara ana mtoto nje ya ndoa,ndio haya sasa yananitokea puani...ila mtashindwa tu!
Mkuu minataka ushinde aiseeeee.... Huyu mtoto amenoga sana wallah, na pia kwajinsi alivyo changamka mumu najua chumbani atakua si-haba shekh, na alivyo tunukiwa zegembe labda ushindwe mwenyewe tu... tehteehhh
 
Back
Top Bottom