mjoli wa kweli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 630
- 388
Kapime tu, ila niamini kabisa huwezi kuwa umeathirika
RIP broNaandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
ACHA USENGE!RIP bro
Bibie naona umeshindwa kumvumilia huyo ndugu yetu lakini inashangaza sana binadamu tumepoteza UTU tumekuwa wabaya zaidi ya wanyamaACHA USENGE!
A HAPA WATANZANIA.ACHA USENGE!
Bora umeweka wazi kua UNAO,takaywkufuata PM asije kulialia baadae kua hakua anajua hali yako,pole ndugu,pole sana na hongera kwakua courageous,wewe sio kama badhi ya akina dada au akina kaka ambao huficha hali zao nakuishia kuua kila waingiao kwenye anga zao zakungonoka.WENZIO TUNAO NATUNADUNDA TU!
HAVE COURAGE!
HUFI LEO WALA KESHO!
WOOOOOTE TULIOPO HAPA SINCE TUNAJIHUSISHA NA NGONO NA TENDO LA NDOA,NI WAATHRIKA WATARAJIWA AU TAYARI TUMSHAATHIRIKA!
SO PLS SIO ISSUE KIHIVYO
BADO UNA NAFASI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO VIZURI TU!
SIO WAKATI WA KUTAFUTA PA KUPEELAK LAWAMA!
IMESHATOKEA !
HAKIKISHENI MNAMLEA MTT KWA UHSAURI WA MADAKTARI!
NYIE WENYWE JILINDENI MSIPATE MAAMBUKIZI MAPYA!
NAAAAAAAAAAAAAAAA UNAWEZA UKAPIMA VILE VILE UKAKUTA HUNA!
YOTE YANAWEZEKANA!
MTU AKIJA PM ANAKUJA KUCHUKUA UKIMWI?Bora umeweka wazi kua UNAO,takaywkufuata PM asije kulialia baadae kua hakua anajua hali yako,pole ndugu,pole sana na hongera kwakua courageous,wewe sio kama badhi ya akina dada au akina kaka ambao huficha hali zao nakuishia kuua kila waingiao kwenye anga zao zakungonoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
SASA we umeongea nini cha ukweli!UNAFIKI NDO UMETUFIKISH
A HAPA WATANZANIA.
TUNA TAIFA LENYE UFAHAMU MDOGO SANA JUU YA HUU UGONJWA!Bibie naona umeshindwa kumvumilia huyo ndugu yetu lakini inashangaza sana binadamu tumepoteza UTU tumekuwa wabaya zaidi ya wanyama
WAKUU NILIENDA KUPIMA NA NIMEKUTWA MZIMA KABISA,NIMEPITA HOSPITAL 3,NILIANZA NA YA MKOA NA PRIVATE 2,KESHO TAMALIZIA 2,NAJUA HAMTOAMINI ILA NDIO UKWELI NA SI UONGO KWA ANAYEAMINI AAMINI NA KWA ASIYEAMINI AENDELEE KUTOKUKUAMINI,NILIJITOA MHANGA KWASABABU SIKUWA NA KWA KUTOKEA,SIKUWAAMBIA KUWA TANGU NIPATE ZILE TAARIFA SIKUWAHI KULA,NJAA NDIO IMENIUMA LEO,NJAA KALI,NATAMANI NINGEKUWA MLEVI HAKIKA LEO NINGETAMBAA,Mkuu LUBEBE ulifanikiwa kwenda kupima?
hongera sana mkuu mungu ni mwema.ila siku ya kwanza mama kuanza clinic si mlitakiwa mpimwe wote? kwanini hukuenda?. nashauri umpeleke na yeye akapimwe labda hanaWAKUU NILIENDA KUPIMA NA NIMEKUTWA MZIMA KABISA,NIMEPITA HOSPITAL 3,NILIANZA NA YA MKOA NA PRIVATE 2,KESHO TAMALIZIA 2,NAJUA HAMTOAMINI ILA NDIO UKWELI NA SI UONGO KWA ANAYEAMINI AAMINI NA KWA ASIYEAMINI AENDELEE KUTOKUKUAMINI,NILIJITOA MHANGA KWASABABU SIKUWA NA KWA KUTOKEA,SIKUWAAMBIA KUWA TANGU NIPATE ZILE TAARIFA SIKUWAHI KULA,NJAA NDIO IMENIUMA LEO,NJAA KALI,NATAMANI NINGEKUWA MLEVI HAKIKA LEO NINGETAMBAA,
UAMUZI NILIOUCHUKUA NI KWAMBA HUYU MWANAMKE SITOMUULIZA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HILI AS LONG AS MIMI NIPO SALAMA,TAENDELEA KUMHUDUMIA YEYE PAMOJA NA MTOTO HADI ASHANGAE,NA YEYE NAJUA ATABAKIA NA MASWALI MENGI AMBAYO YATAKOSA MAJIBU JUU YANGU,NAWASHUKURUNI WOTE KWA UJUMLA,KWA MLIONIPA MOYO NA UZOEFU WENU NA PIA MLIONOKASHIFU NA KUNICHEKA,NAWAKUMBUSHA TU KUWA HAPA DUNIANI TUPO KWENYE MAPAMBANO,YEYOTE LINAWEZA KUMKUTA LOLOTE WAKATI WOWOTE,KIKUBWA TU NI KWAMBA NIMEJIFUNZA MAMBO MEEENGI SANA MAISHANI KWA WAKATI MFUPI SANA TANGU ILE JUZI HADI LEO,MWISHO NAAHIDI KUHESHIMU TATIZO LA YEYOTE KUANZIA SASA,NA KAMA NITAKUWA NINA MSAADA WA HALI AU MALI NITAJITAHIDI KUUTOA KAMA SHUKRANI YANGU KWA MUNGU NA WANADAMU WAKE,ASANTENI SANA WATANZANIA WENZANGU,NIPO HAPPY SANA KIASI HATA SINA UHAKIKA KAMA NAANDIKA SAWA...
wamekupima na kipimo gani mkuu?WAKUU NILIENDA KUPIMA NA NIMEKUTWA MZIMA KABISA,NIMEPITA HOSPITAL 3,NILIANZA NA YA MKOA NA PRIVATE 2,KESHO TAMALIZIA 2,NAJUA HAMTOAMINI ILA NDIO UKWELI NA SI UONGO KWA ANAYEAMINI AAMINI NA KWA ASIYEAMINI AENDELEE KUTOKUKUAMINI,NILIJITOA MHANGA KWASABABU SIKUWA NA KWA KUTOKEA,SIKUWAAMBIA KUWA TANGU NIPATE ZILE TAARIFA SIKUWAHI KULA,NJAA NDIO IMENIUMA LEO,NJAA KALI,NATAMANI NINGEKUWA MLEVI HAKIKA LEO NINGETAMBAA,
UAMUZI NILIOUCHUKUA NI KWAMBA HUYU MWANAMKE SITOMUULIZA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HILI AS LONG AS MIMI NIPO SALAMA,TAENDELEA KUMHUDUMIA YEYE PAMOJA NA MTOTO HADI ASHANGAE,NA YEYE NAJUA ATABAKIA NA MASWALI MENGI AMBAYO YATAKOSA MAJIBU JUU YANGU,NAWASHUKURUNI WOTE KWA UJUMLA,KWA MLIONIPA MOYO NA UZOEFU WENU NA PIA MLIONOKASHIFU NA KUNICHEKA,NAWAKUMBUSHA TU KUWA HAPA DUNIANI TUPO KWENYE MAPAMBANO,YEYOTE LINAWEZA KUMKUTA LOLOTE WAKATI WOWOTE,KIKUBWA TU NI KWAMBA NIMEJIFUNZA MAMBO MEEENGI SANA MAISHANI KWA WAKATI MFUPI SANA TANGU ILE JUZI HADI LEO,MWISHO NAAHIDI KUHESHIMU TATIZO LA YEYOTE KUANZIA SASA,NA KAMA NITAKUWA NINA MSAADA WA HALI AU MALI NITAJITAHIDI KUUTOA KAMA SHUKRANI YANGU KWA MUNGU NA WANADAMU WAKE,ASANTENI SANA WATANZANIA WENZANGU,NIPO HAPPY SANA KIASI HATA SINA UHAKIKA KAMA NAANDIKA SAWA...
Hongera kwa kupima, pitia link nliyokuwekea utapata mwanga mpya.WAKUU NILIENDA KUPIMA NA NIMEKUTWA MZIMA KABISA,NIMEPITA HOSPITAL 3,NILIANZA NA YA MKOA NA PRIVATE 2,KESHO TAMALIZIA 2,NAJUA HAMTOAMINI ILA NDIO UKWELI NA SI UONGO KWA ANAYEAMINI AAMINI NA KWA ASIYEAMINI AENDELEE KUTOKUKUAMINI,NILIJITOA MHANGA KWASABABU SIKUWA NA KWA KUTOKEA,SIKUWAAMBIA KUWA TANGU NIPATE ZILE TAARIFA SIKUWAHI KULA,NJAA NDIO IMENIUMA LEO,NJAA KALI,NATAMANI NINGEKUWA MLEVI HAKIKA LEO NINGETAMBAA,
UAMUZI NILIOUCHUKUA NI KWAMBA HUYU MWANAMKE SITOMUULIZA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HILI AS LONG AS MIMI NIPO SALAMA,TAENDELEA KUMHUDUMIA YEYE PAMOJA NA MTOTO HADI ASHANGAE,NA YEYE NAJUA ATABAKIA NA MASWALI MENGI AMBAYO YATAKOSA MAJIBU JUU YANGU,NAWASHUKURUNI WOTE KWA UJUMLA,KWA MLIONIPA MOYO NA UZOEFU WENU NA PIA MLIONOKASHIFU NA KUNICHEKA,NAWAKUMBUSHA TU KUWA HAPA DUNIANI TUPO KWENYE MAPAMBANO,YEYOTE LINAWEZA KUMKUTA LOLOTE WAKATI WOWOTE,KIKUBWA TU NI KWAMBA NIMEJIFUNZA MAMBO MEEENGI SANA MAISHANI KWA WAKATI MFUPI SANA TANGU ILE JUZI HADI LEO,MWISHO NAAHIDI KUHESHIMU TATIZO LA YEYOTE KUANZIA SASA,NA KAMA NITAKUWA NINA MSAADA WA HALI AU MALI NITAJITAHIDI KUUTOA KAMA SHUKRANI YANGU KWA MUNGU NA WANADAMU WAKE,ASANTENI SANA WATANZANIA WENZANGU,NIPO HAPPY SANA KIASI HATA SINA UHAKIKA KAMA NAANDIKA SAWA...
Ni Jambo la kheri hili mkuu lakini bado linaendelea kuzua maswali lukuki.WAKUU NILIENDA KUPIMA NA NIMEKUTWA MZIMA KABISA,NIMEPITA HOSPITAL 3,NILIANZA NA YA MKOA NA PRIVATE 2,KESHO TAMALIZIA 2,NAJUA HAMTOAMINI ILA NDIO UKWELI NA SI UONGO KWA ANAYEAMINI AAMINI NA KWA ASIYEAMINI AENDELEE KUTOKUKUAMINI,NILIJITOA MHANGA KWASABABU SIKUWA NA KWA KUTOKEA,SIKUWAAMBIA KUWA TANGU NIPATE ZILE TAARIFA SIKUWAHI KULA,NJAA NDIO IMENIUMA LEO,NJAA KALI,NATAMANI NINGEKUWA MLEVI HAKIKA LEO NINGETAMBAA,
UAMUZI NILIOUCHUKUA NI KWAMBA HUYU MWANAMKE SITOMUULIZA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HILI AS LONG AS MIMI NIPO SALAMA,TAENDELEA KUMHUDUMIA YEYE PAMOJA NA MTOTO HADI ASHANGAE,NA YEYE NAJUA ATABAKIA NA MASWALI MENGI AMBAYO YATAKOSA MAJIBU JUU YANGU,NAWASHUKURUNI WOTE KWA UJUMLA,KWA MLIONIPA MOYO NA UZOEFU WENU NA PIA MLIONOKASHIFU NA KUNICHEKA,NAWAKUMBUSHA TU KUWA HAPA DUNIANI TUPO KWENYE MAPAMBANO,YEYOTE LINAWEZA KUMKUTA LOLOTE WAKATI WOWOTE,KIKUBWA TU NI KWAMBA NIMEJIFUNZA MAMBO MEEENGI SANA MAISHANI KWA WAKATI MFUPI SANA TANGU ILE JUZI HADI LEO,MWISHO NAAHIDI KUHESHIMU TATIZO LA YEYOTE KUANZIA SASA,NA KAMA NITAKUWA NINA MSAADA WA HALI AU MALI NITAJITAHIDI KUUTOA KAMA SHUKRANI YANGU KWA MUNGU NA WANADAMU WAKE,ASANTENI SANA WATANZANIA WENZANGU,NIPO HAPPY SANA KIASI HATA SINA UHAKIKA KAMA NAANDIKA SAWA...
Ndivyo ulivyodanganywa eeh! Haya sawa. Ukikutana na mwenye HIV jamiiana naye, kapime uthibitishe kuwa ni Positive, halafu usitumie hizo ARV. Nakupa miaka 3.Mkuu kwa nini unasema una ukimwi? Je vipimo fake hospitali ndo vinakufanya useme una ukimwi?
Je umedhoofu?
Ngoja nikuambie ndugu, Ukimwi upo na unasababishwa na lishe duni tu pamoja na matumizi mabaya ya mwili kama Pombe, ngono nyingi, na baadhi ya dawa za hospitali ukizitumia unapata Ukimwi.
lakini ukimwi hausababishi na kirusi cha HIV kama tulivyoamanishwa. Huyo mkeo hana anaweza kuwa na Ukimwi lakini asiwe na HIV.
Tena nakuonya usijaribu kuanza kutumia ARV ndo utaanza kuugua kweli ukimwi, anza lishe bora na ufuate kanuni za afya ili uepuke mtego wa ARV.
Hizo dawa ni mtego wa kibiashara ya madawa ya Viwanda vya madawa. Chunga sana na ujifunze zaidi kuhusu hiyo kitu.
Jaribu ku google na ujifunze zaidi kuhusu "Aids is a hoax".