Nimekwisha na UKIMWI

Nimekwisha na UKIMWI

Sasa una panic nini kaka mi nimesoma post haikua na haja ya kwenda chini ungetoa post nzima then unabishana na mie ndio nipo kwenye kitengo hiko ungeelewa post yangu nilitegemea ungenihoji kwanini nimesema kama anatumia dawa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa mzima isiwe shida bwana kama hukupenda post yangu ungepiga kimya tuu ijulikane hivo
haya dokta,kama nimekuambukiza kupanic hivi...
 
Mkuu lubede usijiamini sana,kapime tena,hivi vipimo vinataka second opinion,third na ikibifi fourth,usije ukatuumizia bana.
mumu mwenyewe hata mimi namlia target asee
 
Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.

Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.

Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?

Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.

Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.

Ahsanteni
Hongera kwa kuendelea kuwa Ngangali. Hongera sana.
Mi mwenyewe nishapiga watatu wenye Ngoma, mimi sinao. Nshapima mara kadhaa, SINAO. So, sio lazima, kupiga huyo na wewe ukaupata. Be courageous.
Kwa taarifa yako, magonwa kama kansa, tb, pressure, malaria,kisukari ni hatari zaidi ya UKIMWI. Kwa mwenye UKIMWI akizingatia masharti ya wataalamu, unaishi muda mrefu kuliko asiye na UKIMWI. So, hautishi siku hizi.
Pima, kubali majibu, zingatia ushauri wa mtaalamu wa afya. Utaishi muda mrefu mpaka utashangaa.

Wakati mwingine naona kama vile umejitakia. Cheki hapa:-
Wanawake weusi na utamu wao
 
Pole sana mkuu kama kweli limekukuta hilo..........lakini hii stori ni ya kweli?maana JF siku hizi story za kupika zimekuwa nyingi mno mtu unashindwa ujue upi ukweli upi uongo
 
ukishakuwa na mawazo kama hayo 'NIMEKWISHA' na kweli 'UTAKWISHA'! ukimwi sio kifo, huoni mwenzio amekuwa mpaka mkubwa lakini mzima!

huna haja ya kulaumu kwa sasa! kubali hali yako, utaishi maisha ya furaha
 
Hongera kwa kuendelea kuwa Ngangali. Hongera sana.
Mi mwenyewe nishapiga watatu wenye Ngoma, mimi sinao. Nshapima mara kadhaa, SINAO. So, sio lazima, kupiga huyo na wewe ukaupata. Be courageous.
Kwa taarifa yako, magonwa kama kansa, tb, pressure, malaria,kisukari ni hatari zaidi ya UKIMWI. Kwa mwenye UKIMWI akizingatia masharti ya wataalamu, unaishi muda mrefu kuliko asiye na UKIMWI. So, hautishi siku hizi.
Pima, kubali majibu, zingatia ushauri wa mtaalamu wa afya. Utaishi muda mrefu mpaka utashangaa.

Wakati mwingine naona kama vile umejitakia. Cheki hapa:-
Wanawake weusi na utamu wao
akijibu nitagi
 
hahahahahahahahahahahahahahhahah kwaiyo mwamba kautafuta mwenyewe sio
 
Kwanza Mimi siamini katk Ukimwi, UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, Sasa tatizo liko wapi, VVU, Virus vya Ukimwi, HIV yote maana yake ile Ile....Unaogopa Virus hata jina havina na aliyekwambia binadamu gani asiye na Virus, Chanjo ya Polio Ni Virus aina ya Polio's virus vilivyotoka kwa nyani....Nenda kapime maana vipimo vyenyewe vinavyopimiwa Ni vyakuangalia salio lako la kinga..na c vyakuangalia virus visivyo hata na jina.....Ukimwi Ni biashara ya wazungu na inawalipa kweli...kwa kuwalisha hata binadamu wasio na virus
 
Pole kwa yaliyokukuta. Hapo kua mkeo alizaliwa nao na alikua hajui kuna mashaka, ukipima virusi vya ukimwi unapata majibu kama vipo au havipo, kua viliingia kwa njia gani huwezi kujua kwa kutumia vipimo labda kwa kutumia historia ya mwathirika unaweza kukisia.
Ushauri: ni kweli ukimwi unatisha lakini ni ugonjwa kama magonjwa mengine, kwa teknologia ya madawa ilipofikia unaweza ishi miaka mingi sana hadi uzee wako ukiwa na maambukizi ya virusi hivyo, na ndani ya hiyo miaka teknologia inaendelae kukua kwahiyo kuna uwezekano mkubwa ikapatikana tiba kabisa au dawa itayovifanya visiwe na madhara mwilini mwako. Hivyo usivunjike moyo na kudhani ndio mwisho wa maisha.
Kama ukikutwa hauna maambukizi (ni kitu kinacho wezekana) mtaalamu atakushauli jinsi ya kuishi na mkeo bila yeye kukuambukiza na mta mlea mtoto wenu salama kabisa na utaendela ku enjoy ndoa yako.
Wish you luck!!
Eti hauna dawa Nani alikudanganya, ARV Ni biashara ya wakubwa na wanapiga hela Afrika balaa....haitakaa wazungu wakuletee Kinga au tiba ya UPUNGUFU wa Kinga mwilini...
Wewe mwenyewe unaweza, tatizo kubwa linalowaangamiza binadam Ni kuathirika kisaikolojia....
 
Kwanza Mimi siamini katk Ukimwi, UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, Sasa tatizo liko wapi, VVU, Virus vya Ukimwi, HIV yote maana yake ile Ile....Unaogopa Virus hata jina havina na aliyekwambia binadamu gani asiye na Virus, Chanjo ya Polio Ni Virus aina ya Polio's virus vilivyotoka kwa nyani....Nenda kapime maana vipimo vyenyewe vinavyopimiwa Ni vyakuangalia salio lako la kinga..na c vyakuangalia virus visivyo hata na jina.....Ukimwi Ni biashara ya wazungu na inawalipa kweli...kwa kuwalisha hata binadamu wasio na virus
mkuu fafanua kwanza
 
mkuu fafanua kwanza
Ni somo refu Sana yahitaji nitulie baadae nikuletee kwa ushahidi Uzi wakukudhibitishia si ugonjwa, unaweza kuwa na Ukimwi lkn huna Virus na hii inatokana na mazingira tunayoishi Waafrika, Lishe duni, Chanjo tupewazo mahospitalini maji machafu tutumiayo, kwakweli wazungu wametuzungurusha Sana vichwa vyetu kwenye hili...kipimo Cha Virus nafikiri kinapatikana ktk hospitali chache Sana nchi hii na kupata majibu sahihi si chini ya wiki moja na kuendelea....zahanati tunaendaga kupima UPUNGUFU wa Kinga mwilini, na unaweza kupunguzwa Kinga mwilini kwa sababu mbalimbali hata Kurithi pia....Kama huyo binti alivyokwambia Yuko sahihi kabisa....
 
dah,sasa hili la chanjo si hizi tunazopewa utotoni
 
Back
Top Bottom