Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,072
Ndio maana yake ni virus vile, ukienda kupima kwa Sasa hupimi virus Bali unaenda kupima kinga...hicho kipimio chenyewe vile Ni virus vikikutana vina react....dah,sasa hili la chanjo si hizi tunazopewa utotoni
viki-react majibu yanatoka positive, lengo ufe akili, maisha ya binadamu yamebebwa na fikra, ukiwa frustrated ujue ndoo kifo chako hicho kumbe huna virus vyovyote vibaya kwako,