Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nop unaongopea hapaa. Lazima kuwe na physical attraction ili uweze kuwa turned oon
Hapana, si kweli au labda kwa baadhi ya watu haiko hivyo. Mimi kama hujaturn on my brain, you can not turn on my body. Naanza kuomuona mtu attractive pale character yake inapoanza kunivutia na siyo mwonekano.

Sijawahi kuwa na crush za watu maarufu, sijawahi kuangalia Tv au hata watu huko uraiani nikasema huyu mwanaume ni mzuri ananivutia, haijawahi kunitokea.
 
😂😂😂 acha kuniletea uchawii aiseeView attachment 3610675View attachment 3610676
Paw Paw Eye Roll GIF.gif
 
  1. Nini huwa kinakufanya umtamani mwanamke au mwanaume kimapenzi au kimwili ?

  2. Nimeona mijadala mingi humu kuhusu kukosa uaminifu kwenye mahusiano huku watu wakisema “huwezi kula chakula kile kile kila siku” hivi inakuwaje mtu unatamani chakula ambacho hujui ladha yake? kiini cha matamanio yako kinakuwa ni nini?

    View attachment 3610533

  3. Wenzangu tunaovutiwa na uwezo wa mtu kiakili au kuwa na connection ya kihisia kwanza (sapiosexual / demisexual) na si kimuonekano, nini ambacho mpenzi au mwenza wako alisema au alifanya kikavutia ukataka kuwa naye?

    Alamsiki!
1781711037088.jpg
 
Mtakatifu Agustino aliwahi kusema mwanadamu kamwe hata pata utulivu mpaka akutane na Mungu muumba wake.

Matamanio yote, furaha zote, vionjo vyote na kila chote kizuri kitaendelea kumpa mwanadamu usumbufu mpaka katika ukamilifu wake .

Ikumbukwe mwadsmu si mkamilifu anakamilshwa wakati fulani na alie mkamilifu kuliko wote.
Ni jambo la kutafakarisha, at the end of the day, ukifikiri sana utagundua "it's all for nothing" ila ili uwe na amani, inabidi usifikiri sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom