Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Binafsi huvutiwa sana na wanawake walionizidi umri 7-10 yrs siyo mbaya ila siyo vyuma chakavu kiukweli kuna jinsi hata tukiwa kwa bedi ninapata msisimko wa ajabu mno naweza piga raundi 4 hadi 5 kwa usiku huo. Maana wanajua mapenzi sana tofauti na hivi viomba chipsi havijui kitu
 
Hapana, si kweli au labda kwa baadhi ya watu haiko hivyo. Mimi kama hujaturn on my brain, you can not turn on my body. Naanza kuomuona mtu attractive pale character yake inapoanza kunivutia na siyo mwonekano.

Sijawahi kuwa na crush za watu maarufu, sijawahi kuangalia Tv au hata watu huko uraiani nikasema huyu mwanaume ni mzuri ananivutia, haijawahi kunitokea.
Mmmh I once heard kuna watu wa namna hiyoo, ila you guys miss so much.😄 Na inakuwaga wa kishua shua sana watu wa namna hii! You're one of them?

Mimi toka nizaliwe nimekuwa na macrush wengi sana, hasa kwenye romcoms na celebrities mbalimbali. I'm addicted.
 
Mmmh I once heard kuna watu wa namna hiyoo, ila you guys miss so much.😄
Tupo, mimi naona hakuna cha kumiss, as a matter of fact, I always wonder yani unawezaje kumpenda mtu sababu tu umemuona na hujui chochote juu yake? what if they look good halafu kichwani patupu 😩
Na inakuwaga wa kishua shua sana watu wa namna hii! You're one of them?
Hapana mimi Mwajuma wa mbagala rangi tatu, ukishua wa wapi tena 🤣 🤭
Mimi toka nizaliwe nimekuwa na macrush wengi sana, hasa kwenye romcoms na celebrities mbalimbali. I'm addicted.
Good for you, mimi sijawahi, kuna friends walikua wanasema namna wanamuona Idris Elba ni hot na ikitokea leo wamekutana wako tayari for anything, mimi nikimuangalia I'm like, he is okay but I don't know him šŸ¤·ā€ā™€ļø
 
🤣

Bbnaija GIF by Big Brother Naija (2).gif
 
Ni jambo la kutafakarisha, at the end of the day, ukifikiri sana utagundua "it's all for nothing" ila ili uwe na amani, inabidi usifikiri sana!
Twende nayo tu hivyo hivyo sisi si wa kwanza wala wa mwisho hapa duniani, hatuwezi kubadilisha chochote.
Tusiache kufurahi maana maisha ujumla wake ni furaha.
Usiipoke furaha ya mwenzako kwa ubinafsi wako, eti kisa unampenda unataka awe wako peke yako wakati nae anaitafuta furaha yake.
Tuache ama kupunguza kujipendelea na kujipa umuhimu katika maisha ya mtu, hata kama ni mtoto wako wa kumzaa, bado anabaki kuwa mwanadamu.
 
Tupo, mimi naona hakuna cha kumiss, as a matter of fact, I always wonder yani unawezaje kumpenda mtu sababu tu umemuona na hujui chochote juu yake? what if they look good halafu kichwani patupu 😩
Nah, kwa hiyo unataka kunkambia hauna visual excitement? Yaani nikiona my type, huwa nakuwa stimulated on the go. Even if they are dumb, unamkula ana kuwa side chick. Sasa wewe mwenzangu! Kwanza it takes so much time, na kwa sisi wanaume kama una hiyo, unaweza kufa na depression

Hapana mimi Mwajuma wa mbagala rangi tatu, ukishua wa wapi tena 🤣 🤭
Kwendraa, I can smell you're that sugar mmy living her dreams, that jigijigi becomes a pleasure🤣

Good for you, mimi sijawahi, kuna friends walikua wanasema namna wanamuona Idris Elba ni hot na ikitokea leo wamekutana wako tayari for anything, mimi nikimuangalia I'm like, he is fine but I don't know him
Basi, you're that kinda girl uliye watesa saana boy walio crushe kwako. Mimi celebrity crush hata awe na skendo kias gani akija namkula na siwazii, ili radii ile burning desire iwe fulfilled
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom