Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,900
- Nini huwa kinakufanya umtamani mwanamke au mwanaume kimapenzi au kimwili ?
- Nimeona mijadala mingi humu kuhusu kukosa uaminifu kwenye mahusiano huku watu wakisema “huwezi kula chakula kile kile kila siku” hivi inakuwaje mtu unatamani chakula ambacho hujui ladha yake? kiini cha matamanio yako kinakuwa ni nini?
- Wenzangu tunaovutiwa na uwezo wa mtu kiakili au kuwa na connection ya kihisia kwanza (sapiosexual / demisexual) na si kimuonekano, nini ambacho mpenzi au mwenza wako alisema au alifanya kikavutia ukataka kuwa naye?
Alamsiki!