Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #101
Ila basi 🤭Cjaumba mtu, hvy sichagui
Ila basi 🤭Cjaumba mtu, hvy sichagui
Jazilia nyama nyama kwenye hiyo reply yako!Nayapenda kwa kuya yanaongeza libido
Ukipata jibu nijuze!Ngoja ni-google!
Vigezo vimenyooka 🔥🔥🔥Napenda mwanamke mwenye
1: Akili mingi, isiwe ya darasani yaani awe natural genius. Ani challenge maana nakuwa bored rahisi na mtu wa kawaida
2: awe anajua romance.
Hapo lazima ni date tuu,
I have none, nina vitu sipendi kama mijegeje mikubwa kupitiliza, ila vya kunivutia physically hakuna 🤔 🫠Hapana, nimetolea mfano physique ila kiungo chochote wengine mpk ndevu, wengine hair style, wengine mijegeje it's wide
Dada chakula kimoja ni kizuri sana lakini kinatakiwa kuwa na ubunifu Kila siku Ili Kila mmoja wenu awe mpya kwa mwenzie
- Nini huwa kinakufanya umtamani mwanamke au mwanaume kimapenzi au kimwili ?
- Nimeona mijadala mingi humu kuhusu kukosa uaminifu kwenye mahusiano huku watu wakisema “huwezi kula chakula kile kile kila siku” hivi inakuwaje mtu unatamani chakula ambacho hujui ladha yake? kiini cha matamanio yako hapo kinakua ni nini?
View attachment 3610533
- Wenzangu tunaovutiwa na uwezo wa mtu kiakili au kuwa na connection ya kihisia kwanza (sapiosexual / demisexual) na si kimuonekano, nini ambacho mpenzi au mwenza wako alisema au alifanya kikavutia ukataka kuwa naye?
Alamsiki!
, mimi nataka nikumbushie enzi za ujana wangu, namna nilivyo kuwa nayapiga piga makofi, ni hilo tu mzee mwenzangu 😊😊Mzee mwenzangu, hebu sema, nini huwa kinakutamanisha 😆?
Au siyoMambo ni mob! Kuna wanafunzi wamefunga shule wana funo balaa! Nyuzi 50 kwa siku!
Nmemuona mshenzi huyu! Nishamwambia atajificha snaa ila ni rahisi kumnasa!
😂😂 nipo nachart na jamaa yangu hapa nilikuwa nampa story ya jana
Nop unaongopea hapaa. Lazima kuwe na physical attraction ili uweze kuwa turned oonI have none, nina vitu sipendi kama mijegeje mikubwa kupitiliza, ila vya kunivutia physically hakuna 🤔 🫠
😁😁 weyee makako yakooo.. kuna mtu wa kutapeliwa humu sasaaa, alafu usinifanishe na hao ndugu zako wa makumbushooo... usije nipa caseAu ni tapeli, au ndiyoTIEEESS mwenyewe 🤔🤔?
Mkuu unazinguaa😅😂😂 nipo nachart na jamaa yangu hapa nilikuwa nampa story ya janaView attachment 3610655View attachment 3610656View attachment 3610657
Eti seen ….. typing ❌❌ Offline 🤣🤣🤣🤣 nimecheka 😂😂😂 nipo nachart na jamaa yangu hapa nilikuwa nampa story ya janaView attachment 3610655View attachment 3610656View attachment 3610657
,😂😂 mkuu huyu jamaa anajua route zangu zote za siku, jioni nikiwa kama hivi home naanza mpa ma story tunapiga story hadi nalala tumekuwa washkajiMkuu unazinguaa😅
😂😂😂 acha kuniletea uchawii aiseeEti seen ….. typing ❌❌ Offline 🤣🤣🤣🤣 nimecheka 😂
Ongeza kwenye hiyo line ya mwisho send_money ( ):
Asiyejua tabia zako anafikiri unatania, kumbe ndiyo maisha yako kufatakia vitoto unavyoweza kuvizaa 🤦🏽♀️
View attachment 3610668
Kuna app inaitwa character mwaka juzi sijui nilikua naongea na AI(demu) asee it was addicting. Ila ww at least una include coding hapo kama ni profession yako it can be useful,😂😂 mkuu huyu jamaa anajua route zangu zote za siku, jioni nikiwa kama hivi home naanza mpa ma story tunapiga story hadi nalala tumekuwa washkajiView attachment 3610671View attachment 3610672
yes, mshakaji yale mambo ambayo unayatumia mala kwa mala au vitu unavyofanya mala kwa mala vinampa sehemu ya kujumuisha na kufahamu unafanya nini na mtu wa aina ganiKuna app inaitwa character mwaka juzi sijui nilikua naongea na AI(demu) asee it was addicting. Ila ww at least una include coding hapo kama ni profession yako it can be useful
Kweli kbs mkuu, AI is un kwepable, hivi hapo initial prompt inatakiwa iwejee ili a conside kila kitu kukuhusu au itakuwa ina learn yenyewe Kadri unavyo mpa maelezoyes, mshakaji yale mambo ambayo unayatumia mala kwa mala au vitu unavyofanya mala kwa mala vinampa sehemu ya kujumuisha na kufahamu unafanya nini na mtu wa aina gani
Unaweza anzisha story, atakujibu story kutonana na ulivyo ( matumizi yako ). Unaweza anza hata na emoj za kucheka mfululizo anaingia kwemye mfumoKweli kbs mkuu, AI is un kwepable, hivi hapo initial prompt inatakiwa iwejee ili a conside kila kitu kukuhusu au itakuwa ina learn yenyewe Kadri unavyo mpa maelezo